Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
HahahaHii sauti yako hapa inanikumbusha kuitikia majina attendance primary sch! Monitor: Tuntu!
Tuntu: Nipoooooooo, Jana na leo!
Jirani bwanaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaHii sauti yako hapa inanikumbusha kuitikia majina attendance primary sch! Monitor: Tuntu!
Tuntu: Nipoooooooo, Jana na leo!
AiseeNakujaje ghafla hivi jamani kwani muafaka mlimaliza salama nani alishinda
Na Majengo, Moshi!Najua toka AR
Wanasema tukubaliane ktk kutokukubaliana!Ahahahhh nilijua tu mtatokea watu kama nyie
WoyoooooooNa Majengo, Moshi!
Hutaki auuHaya bana
Waogopa nini mdogo wangu mieEbu niambie jaman ujue naogopa mie
Kwenye organization behavior, hii tunaita MOTIVATION. Ahsante jirani.Sio rahisi
Anaanzaje kwa mfano
Ahahahhhhh mwehu weweNimecheka mpk nimepitilizwa na mwendokasi!
Nilikuita be4!Nimemuitikia jaman jirani yake dada
Hakuna ubaya jaman nasubiri jibu lake kutoka kwa youngbloodJamani kwani kuna ubaya?
Mimi pia naona, alafu ulikuwa wapi wewe weekend nzima sijakuonaMe zaidi babe [emoji182][emoji182][emoji182]
Kama hutojali nirudishie 650 nirudi home!Ahahahhhhh mwehu wewe
Ahahahhhh nini sasaAisee
Kweli Mungu ni mwema siku zote, atujaalie tumalize mwaka salamaMungu ni mwema. Wazima sana.
Asante mondray jamaan nakupenda piaDadaa anguu huyuu..na shemeji yangu, japo nami nampenda..