Haijuzu kumuambia Jogoo anaewika hafai! Wewe siwezi kukutembeza kwa miguu. SithubutuWe hunifai Jirani, sa kunitembeza huku nimeshiba si ntatapika mie
EwaaaaHaijuzu kumuambia Jogoo anaewika hafai! Wewe siwezi kukutembeza kwa miguu. Sithubutu
Jirani nikiwa na wewe siwezi kula mpk Nauli. ATM ama Mpesa inahusika!Ewaaaa
Mie kutembea naweza, ila sio nimekula nyama bhana!!!!
Jirani nisamehe najua u jogoo ila ulitaka kuniangusha hapo kwenye nauli
Huwa nakupenda hapo tu Jirani, unajali mpaka najisikia vibaya!!!!! Usijali mwaya hata ukila nauli ntakupa nauli, sawa eeehJirani nikiwa na wewe siwezi kula mpk Nauli. ATM ama Mpesa inahusika!
Nilipata A somo la Kucare na Kujali! Mi naamini vyote alivonipa Mungu kanipa nitumie hapa hapa duniani!Huwa nakupenda hapo tu Jirani, unajali mpaka najisikia vibaya!!!!! Usijali mwaya hata ukila nauli ntakupa nauli, sawa eeeh
Bora umemuelewesha...Hamna
Unamquote mtu wa mwisho kwa kuanza sentensi na neno la mwisho
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kwa Mrombooo palisababisha boom la HESLB liwe linaisha kabla ya wakati!
[emoji15] [emoji15] [emoji15]mornee captain mwifa
AhsantePole
Jirani ukipitiwa unipitie na mimi jiraniSiku ukienda kwa mromboo unipitie Jirani
Teh teh teh teh....Sawa. Noma sana kule. Niliwahi kula mpk Nauli ya kurudia Njiro. Sema wale machalii wako peace sana!
Kama nilikuona vile umepigika na kutembea maana ulikuwa choka mbaya pale mwisho wa lami[emoji2] [emoji2] [emoji2]Niliwahi kula Pweza pale Magogoni! Kuja kutahamaki Sina Nauli ya kurudi home Pugu Kajiungeni. Nikatembea.
Sakayo naona kakamatia fursa si mchezo!!!Nilipata A somo la Kucare na Kujali! Mi naamini vyote alivonipa Mungu kanipa nitumie hapa hapa duniani!
EwaaaaNilipata A somo la Kucare na Kujali! Mi naamini vyote alivonipa Mungu kanipa nitumie hapa hapa duniani!
SawaBora umemuelewesha...
Sawa JiraniJirani ukipitiwa unipitie na mimi jirani
Mie niko makuni ujue, siwezi kula nauli JiraniTeh teh teh teh....
Bora umetahadharisha maana Sakayo angeenda kumaliza kila kitu
Kwa mromboo ni sheeedaSakayo naona kakamatia fursa si mchezo!!!
Kujaribu si kushindwa
[emoji13] [emoji13][emoji15] [emoji15] [emoji15]
=Mwifwa