Stress Free Zone

Stress Free Zone

Haijuzu kumuambia Jogoo anaewika hafai! Wewe siwezi kukutembeza kwa miguu. Sithubutu
Ewaaaa
Mie kutembea naweza, ila sio nimekula nyama bhana!!!!

Jirani nisamehe najua u jogoo ila ulitaka kuniangusha hapo kwenye nauli
 
Huwa nakupenda hapo tu Jirani, unajali mpaka najisikia vibaya!!!!! Usijali mwaya hata ukila nauli ntakupa nauli, sawa eeeh
Nilipata A somo la Kucare na Kujali! Mi naamini vyote alivonipa Mungu kanipa nitumie hapa hapa duniani!
 
Sawa. Noma sana kule. Niliwahi kula mpk Nauli ya kurudia Njiro. Sema wale machalii wako peace sana!
Teh teh teh teh....

Bora umetahadharisha maana Sakayo angeenda kumaliza kila kitu
 
Niliwahi kula Pweza pale Magogoni! Kuja kutahamaki Sina Nauli ya kurudi home Pugu Kajiungeni. Nikatembea.
Kama nilikuona vile umepigika na kutembea maana ulikuwa choka mbaya pale mwisho wa lami[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom