Stress Free Zone

Yani mchana katika pitapita zangu kule MMU nikakutana na uzi kuna mtu anadai amedata kwa mtoto wa kitanga,ilibaki kidogo tu nichafue hali ya hewa nilidhani amekuzimika wewe.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Shunie aliwahi kuzimikiwa na muosha masufuria enzi zile hawajazoeana, kuna siku tukalifukua hilo kaburi muosha masufuria akawa mdogo kama kidonge cha piriton
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…