Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Ndo ukataka niuzia kesi eehYani mchana katika pitapita zangu kule MMU nikakutana na uzi kuna mtu anadai amedata kwa mtoto wa kitanga,ilibaki kidogo tu nichafue hali ya hewa nilidhani amekuzimika wewe.