Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini wewe najua uko na kiwango cha juu cha uvumilivu
Hapo ndo nakupendeagaNitajitahidi!
Unatengeneza?
Nimeamka salama mwaya Jirani.....
Habari za wewe Jirani!!!
Asante JiraniNiko powa my
Mdogo wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani
Kama Ben ten kweli umepata
Angetakiwa awe kama T mwenzake hajalalaEti wa kwanza kukuwish
Shikamoo SlimKesi za urithi haziendi Mahakamani siku hizi. Ni mwendo wa Mlimgotini. Mtarogwa. Take care. Watakuotesha ndevu na wakukaushe hako kachura unakomsumbulia mjukuu wa watu
T ni jembe wewe.... Usiku alikuwa aniota jamani!!!!Angetakiwa awe kama T mwenzake hajalala
Marahaba!Shikamoo Slim
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikimkumbuka T nabaki kucheka tu naona aliomba saa 6 ifike mapemaT ni jembe wewe.... Usiku alikuwa aniota jamani!!!!
Habari za kukijenga chamaMarahaba!
Yaani nikikumbuka hapo tu... Roho yaniumaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikimkumbuka T nabaki kucheka tu naona aliomba saa 6 ifike mapema
Na kwako piaNawatakia mchana mwema wapendwa
Asante sakayo.Na kwako pia