Stress Free Zone

Stress Free Zone

[emoji524]Zaburi 121

1 Nitayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi?

2 Msaada wangu u katika BWANA, Aliyezifanya mbingu na nchi.

3 Asiuache mguu wako usogezwe; Asisinzie akulindaye;

4 Naam, hatasinzia wala hatalala usingizi, Yeye aliye mlinzi wa Israeli.

MUWE NA USIKU MWEMA NA MLINDWE NA DAMU YAKE YESU KRISTO [emoji1374][emoji7] NAWAPENDA MIMI
 
Asanteh, Ubarikiwe sana mamamtumishi. Ulale salama.
 
Back
Top Bottom