Yeah ni Rwanda au MtutsiPlus Rwanda nadhani
Labda hajui kuwa apa sisi kama sehemu yetu ya kukutanaMwambie kabisa huu upo miaka yote sehemu yetu ya soga tukishatoka darasani
Zama sio mtanga jaman ni mmnyema
Watanifanya nilie bure!Kwani hao wananini?
Hata hivyo...Mkuu hatushindani sisi
Ingia nayo tu bado hawajafagia.Niingie na malapa au nivue?
Ingia nayo tu bado hawajafagia.Niingie na malapa au nivue?
Bangi tena...hata shisha zipo!Umetukaribisha, kuna bangi humu?[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Naomba nyama ya mtu nusu kilo,na damu ya paka nusu glasi!Kila kitu kinapatikana hapa
Naomba chodaNikupe maji shoga mana sio kwa kikohozi hicho mmh.
Lete nyongo nne za kuanzia[emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377] Ohoo, c★ emmyta kumbe yumo humu[emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Kila kitu kinapatikana hapa
Naona hivyo mhengaKwahiyo apa ndio kijiwe chetu eenh cha kukutana