Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,548
- 63,038
Mwenzake anaangalia katuni hapa ..Jamaani!!!!!
Huyu mtoto ni vipi lakinii, mwenzake yuko wapi
Katulia Tuli..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenzake anaangalia katuni hapa ..Jamaani!!!!!
Huyu mtoto ni vipi lakinii, mwenzake yuko wapi
Sawa babaa...Mwenzake anaangalia katuni hapa ..
Katulia Tuli..
Kumbe ni ka Ben 10Nimekuja shunie japo kwa kuchelewa, kichwa kichafu ana miaka 13. Sasa msimsogezee miaka mbele jamani
Ni poa dada akeeHuku veepe
Karibu jaman [emoji4]Na mimi je ?
[emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bro ?Karibu jaman [emoji4]
Avatar hii nayo shida[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kaka akee polee mnoo na Mungu azidi kumponya mtoto na pole na wewe huko ulipo jitahidi uwe sawa jamanJamani leo kisaikolojia sipo sawa,mwanangu kaungua na moto kalazwa hospital ya rufaa mbeya.Nipo mbali na familia kikazi,mpaka kazi ni leo nimeshindwa kuingia
Nawaza tu kungekuwa labda kuna vizawadi au kupewa mihela sababu ya malikes kuna watu humu wasingekuwa hata wanakula kisa kushinda jfKisa likes
Na sasa hivi kwa mbali unajua ni nani Mwifwa [emoji4][emoji4]Hapo sawa, hata nikikuona kwa mbali najua ni Shunie[emoji3] [emoji3]
Naitoa mwenyewe kuna mda najisahau yaan nahisi labda nachat na baba d ujueAvatar hii nayo shida
Si umesema na wewe nikukaribishe auBro ?
Asante ujue nilijua bro kaniovertakeSi umesema na wewe nikukaribishe au
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naitoa mwenyewe kuna mda najisahau yaan nahisi labda nachat na baba d ujue
Halafu unanichanganya na hiyo avatarNi poa dada akee
HahaNawaza tu kungekuwa labda kuna vizawadi au kupewa mihela sababu ya malikes kuna watu humu wasingekuwa hata wanakula kisa kushinda jf
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukajua yeyeAsante ujue nilijua bro kaniovertake
Naitoa jamaaanHalafu unanichanganya na hiyo avatar
Huo ndio ukweli ujue watu sijui kama wanalala humu jamaan khaaa na usikute mijitu ya hivyo ni vibabu gagula na mvi zao basi tu avatar fake zinaficha mengiHaha
Sipendi uchochezi ujue