Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora kuliko kila siku kuteka nyuzi za watu[emoji23][emoji23][emoji23]afadhali tunakijiwe cha kudumu
WoyooooooooooooooooKabisaaaa hapa kelele zinaruhusiwa[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Umemsahau kaka yako Mwifwa[emoji23][emoji23]
Elimu ya watu wazima ama[emoji23][emoji23]Kabisaaa muachage watu wajifunzeee[emoji38] [emoji38] [emoji38]
SitakiShari[emoji15]Wap naeza pata sehem nzur ya body massage Dar? Msaada
[emoji23][emoji23][emoji23]aya acha wajifunze,tumewaachia darasa laoHiyo hiyo walikosa ya utotoni atiiii[emoji38] [emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama wa kusimamisha umriiiiiMnaotaka kuzeeka endeleeni,sisi wengine tunarudisha umri nyuma[emoji23][emoji23]
Msanii wa filamu Tanzania ambaye pia alishawahi kutwaa taji la mrembo wa Tanzania Wema Abraham Sepetu, amewacharukia na kuwajibu watu wanaoendelea kumsema vibaya kuhusu umri wake sahihi.
Akizungumza na mwandishi wa East Africa Television, Wema Sepetu ambaye hivi karibuni amesherehekea siku ya kuzaliwa na kutimiza miaka 29, amesema kama wao ndio wamemzaa basi umri wanaotaja ndio sahihi.
“Hao wanaosema kama wao ndio wamenizaa sawa, lakini aliyenizaa mama yangu Bi Mariam Sepetu ndio anajua umri wangu sahihi, sasa wao wanalazimisha sijui nimezaliwa lini, hawajanizaa wao, walionizaa ni Mariam Sepetu na Dady Isaac Abraham Sepetu sio wao”, amesema Wema Sepetu.
Hahahaaaa. Kweli kabisa.Haaaaaa hivi vikohozi ndo vinaleta shida kule kwa watu[emoji23] [emoji23] [emoji23]