Stress Free Zone

Stress Free Zone

Kama ambavyo umeshindwa kuliuza jiwe lako kwa gharama yoyote, halikadhalika hupaswi kuyauza maisha yako wala kuyabadili kwa gharama yoyote, kwani wewe ni wa kipekee, hayuko wa mbadala wako."

- NIKUTAKIE SIKU NJEMA -

Ubaya wa hizi inspirational write-ups watu tunaishia kuzisoma tu, practice ni issue nyingine ngumu.
 
Back
Top Bottom