carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
Tutasema maisha magumu yametukomazaUmri mdogo ila sura za zamani...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutasema maisha magumu yametukomazaUmri mdogo ila sura za zamani...
Leo anahoji mwanaumeUsiniambie anahoji wanaume [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
OohUmepigwa kufuli na Mods
Miaka 6[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hongeraUtoto raha sana ukishiba tu huna wazo lingine linalokuumiza kichwa! Ndio maana mwakani nitaanza kuwa na miaka 6 kwa raha zangu.
Ha haaa haaa ina maana hataki Antonio amuwish happybirthday zamaradi?Kalitoa leo kwenye post ya Nugaz alipomuwish zamaradi Happy Birthday
Hata hichi kijiwe tunaweza kukisimamisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama wa kusimamisha umriiiii
Mchomvu anaingilia ugomvi usiomuhusu?
Nimeshafika dada yangu japo nimechelewaHalafu nimemsahau ujue.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wakiona inazidi kupoa waichemshe[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huo ni ujinga,inamana zamaradi angekuwa yeye ndiye aliyerekodiwa wangemnunia bosi wao?Hapo sasa anataka wafanyakazi wote wa Clouds wasimuwish zamaradi HB
Upo bhanaOoh
Mie nimekuta notification ila ulikuwa umefutwa
Karibu mdogo wanguNimeshafika dada yangu japo nimechelewa
Nyota nyota tatizoTatizo ulichelewa
Twende tukaioshe kwa mshana,siwezi kukuacha utaabike hivi[emoji38]Nyota nyota tatizo
Nadhani tungekaribishana vizuri PM.
Aaaah wapi....Tutasema maisha magumu yametukomaza