Stress Free Zone

Stress Free Zone

[emoji524]ZABURI 91

5.Hutaogopa hofu ya usiku,wala mshale urukao mchana.

6.Wala tauni ipitayo gizani wala uele uharibuo adhuhuri.

MUNGU AWABARIKI MUWE NA USIKU MWEMA MLINDWE NA DAMU YA YESU KRISTO ...[emoji1374][emoji1374]
 
Nawe pia mrs. Lee naona mama mchungaji kakuachia upako[emoji6]
 
Hapa jinsia zote zinakaribishwa.
Kwakuwa jinsia zote zinaruhusiwa wacha na mimi nitupe karata yangu hapa pengine Kazamaradi Mketema kamoja ka hapa Jf kanaweza kunifuata inbox ili na mimi nimwage chozi..
 
Back
Top Bottom