Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Mmmmh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata mm mambo ya mvurugiko wa tumbo huwa sijali kuna siku nipo huko ndaniii nikakutana nayo nipo na dada angu nisiende kukaa nikaagiza ya buku hiyo sehemu ney acha tu mazingira yake dada angu aliniambia nakuacha unachokitafuta utakipata sijui tumbo sijui ninii nikamwambia niacheee nikajilia mapupu yangu na chapati zangu na soda nimetoka hapo roho ina amani kula kitu inapenda