Stress Free Zone

Stress Free Zone

Huwa napenda na nyama za kusaga.

Au unazichemsha kidogo then unakaanga nyama na viungo(vitunguu,hoho,,karoti nk) then unamimina tambi unakaanga kidogo then waweka mayai unakaanga kama chipsi zege vile, mwanangu anapenda kweli kunywa na chai.
Yam yam [emoji532] huwa inakuwa tamu balaah
 
Back
Top Bottom