Stress Free Zone

Stress Free Zone

5cd838ee94fb00b314187ac4363efed4.jpg
 
Haha
Mume tena???? Humu kupata mume ni changamoto, usijali mateke yangu hayana madhara kwa niwapendao
si huwa unaziona nyuzi za wanaume wa Dar, wanasema ni wa laini, eti wanashiba soseji 2 tu, lunch zao chips yai, waoga sana! Sa kwa hayo mateke yako, utwakimbiza!
 
Hahaha
Sitaki uchonganishi na kaka zangu wa dar ujue!!!! Wasiniogope kabisaa
 
Hapo sawa. Nina mpango wa kuahmia Dar, sa sijui itakuwa kweli ile wahenga wanasema "ukienda wa wenye chingo, vunja lako jicho!"
 
Wewe nakuaminia, najua utabeba mahindi ya kutosha!!! Halafu hivyo vimisemo vyako ujue sina kamusi
 
Wahenga hao, utakuwa hukuwa na Mwl mzuri wa Kiswahili, enzi zile darasa la 6C, Mabondeni Pri School!
 
Back
Top Bottom