Stress Free Zone

Stress Free Zone

Hapana we ni muhandsome ulimwambia Mwifwa umtumie pic pm akiiweka pm atazikimbia yeye yaan mm muhandsome sipatani nae jaman kila mtu anamtaka mambo ya kuanza kugombana na wadada wenzio kwa ajili ya bae muhandsome hapana jamaan huku unafikilia homa ya ini
Ohoo, ule ulikuwa ni mtego, angekubali tu basi hata likes humu asingezipata.
 
Back
Top Bottom