instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Somana hifadhi hii sentensi kwa rejea yako ya baadae: Kikwete, Samia na genge lake wataishia kwenye mwisho mbaya sana sana. Hii siyo ''if'' bali ni ''when''!Stress (msongo wa mawazo) ni hali ya mwili na akili kuwa katika shinikizo au mkazo kutokana na changamoto, matatizo, hofu, kazi nyingi, au mabadiliko mbalimbali katika maisha au kwenda kinyume kwa mipango na matarajio binafsi kama vile kupata uteuzi, kuoa/kuolewa, kujenga nyumba, kumiliki gari nk.
Mara nyingi tumekuwa tukishuhudia kauli zisizopimika za Prof Tibaijuka ambazo zinatia doa sifa zake za kielimu. Kwa mfano Alisema "nitaungana na nchimbi kupigania katiba mpya" bila kutaja platform atakayotumia, hii ni dhahiri kuwa Prof ana sonona/msongo wa mawazo.
Tibaijuka anasahau haraka sana, ameshasahau zile mil. 10, huwa nasema hapa, Hela ya UTAPELI huwa haidumu huwa inapeperuka, oneni mfano wa Tundu Lissu muda wote anawaza Hela tu lakini hamna anachokifanya ni kula tu.
Nimuase Prof Tibaijuka aachane na kauli zinazomvua nguo, zinazoshusha hadhi ya elimu Yako, zinazomfanya aonekane Hana akili ajikite kwenye kutatua matatizo yake. Hicho cheo HAKIPO 🤣 MUDA WAKE ULISHAPITA.
Hakuna ukweli wwte ni stress tupuIla anasema ukweli
Wewe unamzidi kipi huyo mama?Stress (msongo wa mawazo) ni hali ya mwili na akili kuwa katika shinikizo au mkazo kutokana na changamoto, matatizo, hofu, kazi nyingi, au mabadiliko mbalimbali katika maisha au kwenda kinyume kwa mipango na matarajio binafsi kama vile kupata uteuzi, kuoa/kuolewa, kujenga nyumba, kumiliki gari nk.
Mara nyingi tumekuwa tukishuhudia kauli zisizopimika za Prof Tibaijuka ambazo zinatia doa sifa zake za kielimu. Kwa mfano Alisema "nitaungana na nchimbi kupigania katiba mpya" bila kutaja platform atakayotumia, hii ni dhahiri kuwa Prof ana sonona/msongo wa mawazo.
Tibaijuka anasahau haraka sana, ameshasahau zile mil. 10, huwa nasema hapa, Hela ya UTAPELI huwa haidumu huwa inapeperuka, oneni mfano wa Tundu Lissu muda wote anawaza Hela tu lakini hamna anachokifanya ni kula tu.
Nimuase Prof Tibaijuka aachane na kauli zinazomvua nguo, zinazoshusha hadhi ya elimu Yako, zinazomfanya aonekane Hana akili ajikite kwenye kutatua matatizo yake. Hicho cheo HAKIPO 🤣 MUDA WAKE ULISHAPITA.
Pole sana MkuuSomana hifadhi hii sentensi kwa rejea yako ya baadae: Kikwete, Samia na genge lake wataishia kwenye mwisho mbaya sana sana. Hii siyo ''if'' bali ni ''when''!
Namzidi akili na Kila kituWewe unamzidi kipi huyo mama?
Kakuzidi umri, elimu , pesa, exposure, hata alipofika wewe hadi unakuwa hutofika, hao mabosi wako ambao wewe ni chawa wao mtiifu huyo mama amekutana nao na anawafahamu personally...
Sasa nani kati ya wewe na Prof Tibaijuka anapaswa ubongo wake uwe umeharibika kwa stress na ugumu wa maisha?
Agenda zinapiganiwa kwa kutumia akili syo stressKila mwanasiasa ana haki ya kuwa na ambition au kupigania ajenda anayoona inafaa, iwe Katiba Mpya au kitu kingine, punguza ujinga!
Prof. Tibaijuka syoAkili mgando wewe
Prof. TibaijukaAkili mgando wewe
Kila kitu kipi, mwenzako alishakuwa waziri, kawa mbunge , shuleni alikuwa kipanga, 1960s mtu anakwenda Marian girls..Namzidi akili na Kila kitu
Kama ni mwalimu basi Prof Tibaijuka ana shule anaweza hata akamuajiri...Wewe mwalimu ndio una stress za kuacha ualimu ambapo mnalimwa pesa zenu kiharamu ili uteuliwe kuwa RAS, Tibaijuka alishavuka hizo level za njaa njaa na uchawa wa kufukuzia teuzi kama wewe.
Bado hana Hela, yani mm nifanye KAZI Ulaya halafu nije nigombee ubunge Tanzania kwa mhaya hii ni aibuKila kitu kipi, mwenzako alishakuwa waziri, kawa mbunge , shuleni alikuwa kipanga, 1960s mtu anakwenda Marian girls..
Kasoma nje, kaishi Sweden, kachukua phd 1983... kapuku kama wewe unamzidi huyo mama kipi?
Si zile bil. 10 za mboga hata mm ningejenga shule yanguKama ni mwalimu basi Prof Tibaijuka ana shule anaweza hata akamuajiri...
Anafikiri Tibaijuka nae alifeli form IV kama mama yao...
Kama ni mwalimu basi Prof Tibaijuka ana shule anaweza hata akamuajiri...
Anafikiri Tibaijuka nae alifeli form IV kama mama yao...
Niambie mkuuWewe mwalimu ndio una stress za kuacha ualimu ambapo mnalimwa pesa zenu kiharamu ili uteuliwe kuwa RAS, Tibaijuka alishavuka hizo level za njaa njaa na uchawa wa kufukuzia teuzi kama wewe.
Stress (msongo wa mawazo) ni hali ya mwili na akili kuwa katika shinikizo au mkazo kutokana na changamoto, matatizo, hofu, kazi nyingi, au mabadiliko mbalimbali katika maisha au kwenda kinyume kwa mipango na matarajio binafsi kama vile kupata uteuzi, kuoa/kuolewa, kujenga nyumba, kumiliki gari nk.
Mara nyingi tumekuwa tukishuhudia kauli zisizopimika za Prof Tibaijuka ambazo zinatia doa sifa zake za kielimu. Kwa mfano Alisema "nitaungana na nchimbi kupigania katiba mpya" bila kutaja platform atakayotumia, hii ni dhahiri kuwa Prof ana sonona/msongo wa mawazo.
Tibaijuka anasahau haraka sana, ameshasahau zile bil. 10 za mboga🤣 huwa nasema hapa, Hela ya UTAPELI huwa haidumu huwa inapeperuka, oneni mfano wa Tundu Lissu muda wote anawaza Hela tu lakini hamna anachokifanya ni kula tu.