Stress za kukosa uteuzi zina haribu ubongo wa Pro. Tibaijuka

Migiro kafanya hadi UN, mbona anachezeshwa segere na mboga mboga.
Mxxxiiiieeew.
Yule alifika bei mapema
Ndiyo maana mnapopewa kazi na WAHUNI wenu wawe wanawapa historia kwanza ya hao watu mnaowaponda.

Mshahara aliokuwa anakula UN asingeweza hata chembe kuacha na kuja kufanya siasa za majitaka ,Mshahara wa Director wa UN kwasasa ni Around 40m -80m kutegemea na sehemu uliyopelekwa.

Ukiona mwanasiasa ambaye alikuwa nje akarudi TZ basi jua aliitwa na nchi kuja kufanya kazi ,hata Daudi Balali aliletwa kuja kufanya kazi TZ.
Mkuu huyo ni Juha wa lumumba buku 7 usipoteze muda kubishana naye
 
Stress (msongo wa mawazo) ni hali ya mwili na akili kuwa katika shinikizo au mkazo kutokana na changamoto, matatizo, hofu, kazi nyingi, au mabadiliko mbalimbali katika maisha au kwenda kinyume kwa mipango na matarajio binafsi kama vile kupata uteuzi, kuoa/kuolewa, kujenga nyumba, kumiliki gari nk.

Mara nyingi tumekuwa tukishuhudia kauli zisizopimika za Prof Tibaijuka ambazo zinatia doa sifa zake za kielimu. Kwa mfano Alisema "nitaungana na nchimbi kupigania katiba mpya" bila kutaja platform atakayotumia, hii ni dhahiri kuwa Prof ana sonona/msongo wa mawazo.

Tibaijuka anasahau haraka sana, ameshasahau zile bil. 10 za mboga🤣 huwa nasema hapa, Hela ya UTAPELI huwa haidumu huwa inapeperuka, oneni mfano wa Tundu Lissu muda wote anawaza Hela tu lakini hamna anachokifanya ni kula tu.

Nimuase Prof Tibaijuka aachane na kauli zinazomvua nguo, zinazoshusha hadhi ya elimu Yako, zinazomfanya aonekane Hana akili ajikite kwenye kutatua matatizo yake. Hicho cheo HAKIPO 🤣 MUDA WAKE ULISHAPITA.
Huyu mama hana shida na madaraka.Mimi namfahamu vizuri sana.pesa anayo ya kutosha madaraka ya nini sasa.nyinyi wana ccm mna roho mbaya na chuki binafsi.mna roho za kichawi.
 
Tibaijuka ana degree 10, wakati Tahira wenu alifeli form 4 na anamiliki cheti Cha mapambo ya hotelini.
 
Stress (msongo wa mawazo) ni hali ya mwili na akili kuwa katika shinikizo au mkazo kutokana na changamoto, matatizo, hofu, kazi nyingi, au mabadiliko mbalimbali katika maisha au kwenda kinyume kwa mipango na matarajio binafsi kama vile kupata uteuzi, kuoa/kuolewa, kujenga nyumba, kumiliki gari nk.

Mara nyingi tumekuwa tukishuhudia kauli zisizopimika za Prof Tibaijuka ambazo zinatia doa sifa zake za kielimu. Kwa mfano Alisema "nitaungana na nchimbi kupigania katiba mpya" bila kutaja platform atakayotumia, hii ni dhahiri kuwa Prof ana sonona/msongo wa mawazo.

Tibaijuka anasahau haraka sana, ameshasahau zile bil. 10 za mboga🤣 huwa nasema hapa, Hela ya UTAPELI huwa haidumu huwa inapeperuka, oneni mfano wa Tundu Lissu muda wote anawaza Hela tu lakini hamna anachokifanya ni kula tu.

Nimuase Prof Tibaijuka aachane na kauli zinazomvua nguo, zinazoshusha hadhi ya elimu Yako, zinazomfanya aonekane Hana akili ajikite kwenye kutatua matatizo yake. Hicho cheo HAKIPO 🤣 MUDA WAKE ULISHAPITA.
Maoni yake na yaheshimiwe!
 
Back
Top Bottom