instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
- Thread starter
- #121
Tulia mkuu utawewukaSina peace na machoko yaliyoniulia ndugu zangu oct29 hatukufa wote subirini Tutawafurahisha
Tulia mkuu utawewukaSina peace na machoko yaliyoniulia ndugu zangu oct29 hatukufa wote subirini Tutawafurahisha
😂😂😂😂😂😂😂😂Ndo maana Kuna kurudia mtihani ndugu yangu.
Halafu watu wengi hawajui sababu zinazoathiri upimaji kwenye ujifunzaji na ufundishaji, mtu anafeli mtihani kutokana na vitu viwili tu Nature na Nurture (Anord Gasell)
Ukiona mtu amefel mtihani lakini badae ukamsikia yupo chuo au anaelimu ya juu zaidi ujue awali alifeli mtihani sababu zikiwa ni NURTURE.
Huwezi kujua Mpaka uwe na uelewa wa mifumo ya upimaji kwenye ujifunzaji na ufundishaji.😂😂😂😂😂😂😂😂
Sawa we mtetee ni haki yako, ila sote tunaujua ukweli wa huyo bibi yenyu. 🥱🥱
Academics 🥱🥱
🥱🥱🥱🥱🥱Akili za kimandazi tuu hii yaani Tibaijuka atake uteuzi nakukubusha wahaya sio wajinga wengine
Hamna kitu kama hichoTIBAIJUKA hana stress wala nini maisha bora yule, akili kubwa ameamua kuwa mkweli tuu.
Sawa ila alishasema mwenyewe kuwa alipata zero 🥱🥱Huwezi kujua Mpaka uwe na uelewa wa mifumo ya upimaji kwenye ujifunzaji na ufundishaji.
Hakuna Prof anayeongea sana vile ma Prof huwa wanaongea kwa kutumia sana ubongo🥱🥱🥱🥱🥱
Anamlinganisha profesa na divisheni foo.
Hii ni maajabu 🥱🥱
Kupata zero si dhambi ni matokeo ya ujifunzaji na ufundishaji.Sawa ila alishasema mwenyewe kuwa alipata zero 🥱🥱
Kweli kupata zero si dhambi, ila usimuweke kwenye jukwaa la wasomi unamuonea bure tu.Kupata zero si dhambi ni matokeo ya ujifunzaji na ufundishaji.
Kwa yanayoendelea akae kimya?Stress (msongo wa mawazo) ni hali ya mwili na akili kuwa katika shinikizo au mkazo kutokana na changamoto, matatizo, hofu, kazi nyingi, au mabadiliko mbalimbali katika maisha au kwenda kinyume kwa mipango na matarajio binafsi kama vile kupata uteuzi, kuoa/kuolewa, kujenga nyumba, kumiliki gari nk.
Mara nyingi tumekuwa tukishuhudia kauli zisizopimika za Prof Tibaijuka ambazo zinatia doa sifa zake za kielimu. Kwa mfano Alisema "nitaungana na nchimbi kupigania katiba mpya" bila kutaja platform atakayotumia, hii ni dhahiri kuwa Prof ana sonona/msongo wa mawazo.
Tibaijuka anasahau haraka sana, ameshasahau zile bil. 10 za mboga🤣 huwa nasema hapa, Hela ya UTAPELI huwa haidumu huwa inapeperuka, oneni mfano wa Tundu Lissu muda wote anawaza Hela tu lakini hamna anachokifanya ni kula tu.
Nimuase Prof Tibaijuka aachane na kauli zinazomvua nguo, zinazoshusha hadhi ya elimu Yako, zinazomfanya aonekane Hana akili ajikite kwenye kutatua matatizo yake. Hicho cheo HAKIPO 🤣 MUDA WAKE ULISHAPITA.
Kweli ila wenye divisheni foo wanaongea kwa kutumia sana mashavu 🤣🤣ma Prof huwa wanaongea kwa kutumia sana ubongo
Which is really sad.
We huumii kuona DIVISHENI FOO anatubagaza?
Huna hoja pumzika.Niumie mimi ni Mmisheni kama wewe??
Wanaoumia na uongozi wa samia ni wamisheni
Fanyeni tuh mzae hizo mimba zenu za chuki
Kweli ila wenye di
Ndyo naelewaHivi unaelewa hata ulichoandika?
Namzidi akili na Kila kitu
Namshukuru Mungu Sina njaa ndogondogo nawehukaje mkuu? Mimi ni mwanaume nilizaliwa siku moja nitakufa siku moja Simamia Ukweli Huo ndio Uanaume huoni wale raia waliwapiga makofi wale wastaafu kwenye msiba wa pengo wengine hawakupigiwa wakanuna😂 Ukiwa na Hekima Unakubalika na kila mtu siyo huyo wenu anawalipa buku7 pale lumumba na bundle la kupondea oppositionTulia mkuu utawewuka
Bado hana Hela, yani mm nifanye KAZI Ulaya halafu nije nigombee ubunge Tanzania kwa mhaya hii ni aibu