Stress za kukosa uteuzi zina haribu ubongo wa Pro. Tibaijuka

Stress za kukosa uteuzi zina haribu ubongo wa Pro. Tibaijuka

Bora kuibiwa na profesa kuliko kuibiwa na mtu mwenye DIVISHENI FOO.

Hakuna kitu inauma kama kuibiwa na MAAMUMA, unaweza ukalia kwa uchungu.

Sasa yeye Profesa amepoteza muda wote huo kusoma kisha anakuja kuishia kuliibia taifa??

Profesa hana msaada si bora angekuwa kahaba tuh awe anapigwa miti tujue moja.
 
Sasa yeye Profesa amepoteza muda wote huo kusoma kisha anakuja kuishia kuliibia taifa??

Profesa hana msaada si bora angekuwa kahaba tuh awe anapigwa miti tujue moja.
Bora profesa mwizi kuliko yule DIVISHENI FOO wenyu anayetubagaza.
 
Kama wewe unapigwa miti ni juu yako

Siyo kila mtu ni punga kama wewe

Na ni uongo kuwa makafiri wamejazana huko serikalini utadhani wako kwenye parokia na kazi kubwa wanayoifanya ni kuibia serikali??
Kafiri mama yako mkuu
 
Stress (msongo wa mawazo) ni hali ya mwili na akili kuwa katika shinikizo au mkazo kutokana na changamoto, matatizo, hofu, kazi nyingi, au mabadiliko mbalimbali katika maisha au kwenda kinyume kwa mipango na matarajio binafsi kama vile kupata uteuzi, kuoa/kuolewa, kujenga nyumba, kumiliki gari nk.

Mara nyingi tumekuwa tukishuhudia kauli zisizopimika za Prof Tibaijuka ambazo zinatia doa sifa zake za kielimu. Kwa mfano Alisema "nitaungana na nchimbi kupigania katiba mpya" bila kutaja platform atakayotumia, hii ni dhahiri kuwa Prof ana sonona/msongo wa mawazo.

Tibaijuka anasahau haraka sana, ameshasahau zile bil. 10 za mboga🤣 huwa nasema hapa, Hela ya UTAPELI huwa haidumu huwa inapeperuka, oneni mfano wa Tundu Lissu muda wote anawaza Hela tu lakini hamna anachokifanya ni kula tu.

Nimuase Prof Tibaijuka aachane na kauli zinazomvua nguo, zinazoshusha hadhi ya elimu Yako, zinazomfanya aonekane Hana akili ajikite kwenye kutatua matatizo yake. Hicho cheo HAKIPO 🤣 MUDA WAKE ULISHAPITA.
Halafu huyo ndo Profesa!
Elimu ya vyeti bwana
 
Wewe unamzidi kipi huyo mama?
Kakuzidi umri, elimu , pesa, exposure, hata alipofika wewe hadi unakufa hutofika, hao mabosi wako ambao wewe ni chawa wao mtiifu huyo mama amekutana nao na anawafahamu personally...

Sasa nani kati ya wewe na Prof Tibaijuka anapaswa ubongo wake uwe umeharibika kwa stress na ugumu wa maisha?
mkuu umemaliza. haya maujinga sijui yatapungua lini vichwani mwa hawa chawa
 
😂😂😂😂😂😂

Sasa si uangalie vyeti vyake vinasemaje?

Yeye mwenyewe alishakiri hadharani kuwa alipata zero. Sio maneno yangu, ni yake mwenyewe 😂😂
Ndo maana Kuna kurudia mtihani ndugu yangu.
Halafu watu wengi hawajui sababu zinazoathiri upimaji kwenye ujifunzaji na ufundishaji, mtu anafeli mtihani kutokana na vitu viwili tu Nature na Nurture (Anord Gasell)
Ukiona mtu amefel mtihani lakini badae ukamsikia yupo chuo au anaelimu ya juu zaidi ujue awali alifeli mtihani sababu zikiwa ni NURTURE.
 
Back
Top Bottom