Stress za kukosa uteuzi zina haribu ubongo wa Pro. Tibaijuka

Kama ni mwalimu basi Prof Tibaijuka ana shule anaweza hata akamuajiri...

Anafikiri Tibaijuka nae alifeli form IV kama mama yao...
Wewe uliyefaulu form 4 mbona unakesha asubuhi jamii forum una nini cha kujivunia
 
Wewe ni ****,Tibaijuka aliacha ubunge mwenyewe
 
KWa hatua aliyofikia professor Tibaijuka hawezi kulilia teuzi bali anaumia namna watanganyia wanavyouliwa na hili lishenzi.polepole ameuawa, dk nchimbi naye alikuwa auwawe lakini target ikakosewa akaangukia kwa mpishi wake,mdude kauawa na hili lishenzi n.k.Yote tutayakomesha sjsi kama watanganyika wapigania uhuru.walikuwepo Adolf hitler na wengine lakini walishughulikiwa kisawasawa
 
Vijana tuna tabu sana,ukimsema yule mama sijui utakuwa na utindio wa ubongo.mtu alishakuwa waziri,ni profesa na ana miradi yake.kwa umri wake anaweza kuwa stress za teuzi ?Si kweli
 
Vijana tuna tabu sana,ukimsema yule mama sijui utakuwa na utindio wa ubongo.mtu alishakuwa waziri,ni profesa na ana miradi yake.kwa umri wake anaweza kuwa stress za teuzi ?Si kweli
Kama aliweza kuomba kura atashindwaje kuomba uteuzi....think critically
 
Angeumia kwa kurudisha hazina kuu ya serikali zile Hela alizodai ni za mboga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…