Stress za kukosa uteuzi zina haribu ubongo wa Pro. Tibaijuka

Ila wapemba bhn πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kama aliiba na sasa ameokoka na ameamua kuipigania nchi yake sisi wananchi hatuna roho mbaya...

Huwezi kuamini wanaopaza sauti kuhusu Polepole ni wapinzani na wananchi wasio na vyama...
Sorry Mkuu Pole pole ni nani
 
Nimemwambia watoto wake au wajikuu zake hafanani nao yeye au kingi tu hapa..
Hawa vijana wanachekesha kweli kweli...
Huyo mama mmewe alikuwa balozi, amekaa Sweden huko na amepata watoto huko... kasoma huko.. kachukua phd 1983 nahisi huyu muanzisha mada huo muda anajinyea ama hajazaliwa kabisa...

Elimu tu aliyonayo anawazidi maboss zake ambao wanamtuma atukane watu humu...

Hapo usizungumzie status ya maisha yake...

Lakini prof Tibaijuka anaikosoa serikali , wapuuzi wengi wanadhani mtu kuikosoa serikali ni kisa ana ugumu wa maisha, ama anataka cheo.. mbona Polepole alikataa cheo cha ubalozi akarudi kuikosoa serikali..
 
Hata mtoto huwa analia akiwa na njaa.
Mkuu ushawai ona tajiri analalamika au anaongea ongea sana.

Njaa njaa njaa ikipanda kichwani Kila neno huwa linatoka
 
Ambacho hujui watu wanafuatilia haya mambo sasahivi kama wanasikiliza redio, hawataki kujua nani anasema Nini, ila anachosema ni ukweli au uongo bila kujali ni nani.
 
Ambacho hujui watu wanafuatilia haya mambo sasahivi kama wanasikiliza redio, hawataki kujua nani anasema Nini, ila anachosema ni ukweli au uongo bila kujali ni nani.
Kwahyo katiba anaiona sasa akiwa nje ya mfumo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…