Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Habarini Wana Jamvi.
Hii Hali Inapoelekea sio nzuri kwa underground wetu NANDY,maana naona kabisa Kama tunaenda kumpoteza kwenye ramani ya Muziki.
Na hii yoote ni kutokana na ujio wa giant ZUCHU,maana kaka na Kasi ya Moto wa kifuu na mpaka Sasa hivi kamshinda underground NANDY kwa vitu vyote kuanzi mwaka Jana mpaka Sasa hizi kwa vigezo madhubuti.
Kosa kubwa sana ambalo NANDY amelifanya Ni kujiingiza kisirisiri kwenye Vita kubwa na kiwanda pamoja na taasisi ya Muziki Tanzania WCB wasafi,maana ndo wanarun Kila kitu,ko underground NANDY anatumia mashushushu Kama mwijaku na Soudy Brown kumpigia promo kwa kuwapondea WCB hasa malkia wetu wa Muziki Tanzania ZUCHU
ko Hali hii uwafanya mashabiki wa WCB kumchukia underground NANDY na kupelekea kufeli kwa ngoma zake maana WCB tu kwa Tanzania ndo inaongoza kwa wafuasi zaidi ya 95%
Pia NANDY anapoteza credibility ya kutungiwa ngoma Kali KUTOKA kwa rayvanny,mbosso pamoja na lavalava,pia kurekodi kwenye wasafi studio na bila kusahau kudirektiwa kwa Dir.KENNY ambaye ndo baba wa video Tanzania kwa Sasa.
Na pia ,kitendo Cha underground NANDY kukimbilia kwenye Gossipel kinadhihirisha kweli kuwa underground NANDY Ni Kama utopolo iliyochangamka walahi.
Maana Katia album ya Gossipel ya WANIBARIKI lakini hakuna chochote ,maana ZUCHU UNPLUGGED iko fire sana kabisa,ko underground NANDY inabidi abadilike aache matabaka now.
ZUCHU THE AFRICAN PRINCESS AND QUEEN NI MKUBWA SANA KULIKO UNDERGROUND NANY.
N.B,,,any thing in music industry lie,but number don't lie.
ZUCHU CURRENTLY STATISTICS
1.youtube views 120m+
2.audiomack total play 19m+
3.boompaly streams 20m+
4.bonus,,,SUKARI(youtube 15m+,Audiomack 1.5m+ and boomplay 3m+)
UNDERGROUND NANDY CURRENTLY STATISTICS
1.youtube views 98m+
2.audiomack total play 8m+
3.boomplay streams 10m+
4.bonus,LEOLEO ft koffie olomide (YouTube 1.3m+, Audiomack 200k+ and boomplay 200k+)
AISEE NI HUZUNI KWA KWELI JAMANI TUMUOMBEE
KAANGALIE ZUCHU UNPLUGGED UJE UNAMBIE LINK IN ALL DIGITAL PLATFORMS.