Stress za Muziki na Gossipel za Nandy fursa kwa Zuchu

Stress za Muziki na Gossipel za Nandy fursa kwa Zuchu

Unaingia JF kumuongelea mtu kupunguza stress za maisha. Mwenzio anaingia benki ku deposit pesa. Haya maisha haya![emoji23]
 
WCB inajitetea Kwa data , wengine watabwabwaja tuuu ooh sjui nan mkali, inashangaza leo unaimba NATAKA TANGO , CHOMEKA , na pia upo uchi uchi , alaf kesho unaimba NINAKUSIFU ...... Hebu tuache mzaha .....chagua kimoja kama bongo fleva ni bongo fleva kama ni gospel iwe ni gospel ...... Ndo haya ya Goodluck Gosbert ya kutapa tapa mwisho kapotea
Yeah fact na ndo Mana JOEL LWAGA Ana hit ,ona Sasa kilichomkuta WILLY PAUL kisa kutapatapa
 
Mkuu Kigoma Independent wawekee na statistics kabisa za Sportfy na Apple music alaf convert kwenye mpunga , na waambie Zuchu anakula 30% Tu pale WCB na Nady anakula 100% alaf tuone nan anapiga hela ....
Soon nawaweke zoote ili wajue kutofautisha,maana RAYVANNY tu Hadi mmakonde kasurrender
 
Now days Nandy amekuwa utopolo sana.Kufariki kwa Ruge amemuachia pengo kubwa Sana Nandy.kwa Sasa naona upepo upo kwa Zuchu ile ZUCHU UNPLUGGED niliiyoiona Ni [emoji91] sana akiendelea ubunifu wa namna hii atazidi kuwa juu Sana.
Fact level za SIMI now ZUCHU
 
Muda mwingne tuache kulalamika ukosefu wa ajira kwa vijana
Wakati vijana mindset zao ndio hizi?
Mkuu chukua jembe ukalime mambo ya zuchu na nandy waachine wakina dada
Muziki haujui maana yake ko kalale Kwanza,unajua kigoma tunasifika kwanini....????
 
Kwani Tanzania ni mwiko kuwa na wasanii walio juu hata 100. Hivi hizi akili za kutaka msanii mmoja ndio awe juu mmesitoa wapi?

Kwani Zuchu akiwa juu, nandy akiwa juu na wakitokea wasanii wengine wakitokea hata 100 Nyie huwa mnaumia Nini.?

Acha watu wafanye kazi kijana. Fanya kazi. Nandy ana maisha anaweza kukuajiri ukawa houseboy wake. Zuchu ana maisha anaweza kukuajiri uwe mtu wa Garden kwake.

Huo muda wa kuchambua riziki za binadamu wenzio na kuzi underrate ni Bora ujikite mtaani kutafuta Mia za kula.


Najua una maisha magumu kijana, umri unakukimbia kazi kuja kudiscus watoto wa kike. Utakuja kushtuka muda umeenda huna lolote.
 
Back
Top Bottom