BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
- Thread starter
- #41
Nani atakaba ?
Mkuu belo...hii formation ingetufaa sana 4-2_3_1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani atakaba ?
Jamaa ndio striker wangu kwenye timu yangu ya game anafunga vibaya mno.....
Nashangaa why kocha anamsusia....
View attachment 748872
Wakuu! Mwenye kujuwa atuambie ni nini kimetokea baina yao? Fundi kama huyu utamuachaje kwenda urussi!!! badala yake anamchukua Higuain....Ndio maana timu inakuwa dependant on single man, Lapulga....Au wapo bora zaidi yake kwa namba 9?
Haya ukija kwa Dybala i don't think kama amemuita kikosini....all years hatunaga bahati na makocha,, huyu Sampaoli naye ni wale wale tu!
HatariHamnaga mshabiki wa Argentina bongo wewe ni shabiki wa Andunje
Mauro Icardi ni product kutoka La Masia na alitabiriwa kuja kuwa striker mkali tatizo kubwa lilikuwa nidhamu ndio maana Barca walimuacha aondoke kiulainiAise! kumbe aliwahi kuichezea Barca,, nilikuwa sijui...
Mpira wa siku hizi forward ndio wanaanza kukaba Messi/Dybala/Icardi wote ni free player kuwachezesha wote pamoja timu hai-balance bora kina Di Maria/Correa wanaweza kukaba unafikiri kwa nini Pep anampenda Jesus badala ya AgueroMkuu belo...hii formation ingetufaa sana 4-2_3_1
Kweli kabisa mkuu Argentina ni mkusanyiko wa wachezaji tu Ila hawajitumi kabisa..World cup ya mwaka huu siwapi nafasi sana.Mpira wa siku hizi forward ndio wanaanza kukaba Messi/Dybala/Icardi wote ni free player kuwachezesha wote pamoja timu hai-balance bora kina Di Maria/Correa wanaweza kukaba unafikiri kwa nini Pep anampenda Jesus badala ya Aguero
Tatizo la Argentina wamekosa kocha anayeweza kujenga morali ili wachezaji waweze kupambana wana wachezaji wengi wazuri lakini hawana timu
Argentina,Brazil,France,Spain hizi timu zina wachezaji wazuri wengi sana huwa wanakosa makocha wa kujenga morali na kutengeneza timu Brazil wana kocha mzuri sana wanaweza kufika mbali sanaKweli kabisa mkuu Argentina ni mkusanyiko wa wachezaji tu Ila hawajitumi kabisa..World cup ya mwaka huu siwapi nafasi sana.
Hapa ndipo ninapowakubali Wajerumani,Wanajituma na morali Yao ipo juu sana.
Bila kuwasahau Belgium..hawa nao ni Simba wa karatasi tu,majina makubwa Ila wanafungwa na Wales..Argentina,Brazil,France,Spain hizi timu zina wachezaji wazuri wengi sana huwa wanakosa makocha wa kujenga morali na kutengeneza timu Brazil wana kocha mzuri sana wanaweza kufika mbali sana
Germany,Italy,Egypt wanaweza kutengeneza timu
lakin mkuu una aguero na higuain kumbuka, pia angalia compatibility ya wachezaji wa argentina je icardi yuko compatible na the rest? aguero na higuain wanafit vzuri kwenye timu zaid ya icardi, hebu fikiria pia diego costa anafit vzuri kwe kikosi cha spain?ni heri umpange morata au isco aende cheza tisa timu itacheza vizuri.......higuain anaofa vitu vingi sana kwe timu anascore lakin anaweza kuwachezesha wenzie pale inapobidi the same to aguero......binafsi sishangai wala kulaumu icardi kuachwa ingawa dybala angemuita tu japokuwa hawez kuanza mbele ya messi lakin yeye ndio atakayechukua mikoba yake baada ya WC ..............icardi anafaa kwe timu zinazocheza mipira migumu kama italy vile sio argentina
Yani inakera sana kuona wachezaji wenye vipaji wakiachwa au kuwekwa benchi kwenye national teams
Mfano kama Brazil eti Gabriel Jesus anamweka bench Roberto Firmino!! Si ajabu sana hii?
Inategemea kocha anataka nini na mfumo upi anatumia kulingana na mchezaji...Yani inakera sana kuona wachezaji wenye vipaji wakiachwa au kuwekwa benchi kwenye national teams
Mfano kama Brazil eti Gabriel Jesus anamweka bench Roberto Firmino!! Si ajabu sana hii?
Kwa case ya Dybala, nadhani ni yeye mwenyewe (Dybala) alisema kuwa hawezi kucheza na Messi maana wana style inayofanana mno kiasi kwamba yeye mwenyewe haoni akiwa huru kufurukuta.
Kocha wao akamtetea kuwa alichokisema hakikuwa na nia ya kuwa anamchukia Messi bali hata yeye kocha ni ngumu kuwapanga pamoja kwani wana style inayofanana mno.
Kuhusu kwenda WC naamini Dybala ataitwa ila atakuwa benchi muda mrefu. Ila ni muhimu yeye kuwepo maana baada ya mashindano haya nina imani Messi atatundika daluga kuitumikia timu yake ya taifa. Nafasi hiyo itabaki kwa Dybala labda ndani ya miaka minne hii atokee mchezaji bora kuliko yeye tena.
yeah ni vgumu kucheza timu moja na messi ukafanya mambo makuubwa kuliko angalia hata benzema ni bonge la striker lkn anaonekana wa kawaida sababu ronaldo yupo, sema kila mtu na mtazamo wake ila striker km icardi,belloti,imobille hawa jamaa wanafit timu znazocheza mipira migumu km italy vile au km club basi juve,inter na man u, mi naona sampaoli yuko sahihi kumwacha ingawa anaweza kumwita yy au dybala coz ya hii uncertainty ya aguero, mi nmemwona icardi kwe baadhi ya mechi za kufuzu WC yaani unaona kabisa yuko isolated uwanjani ile mipira yake ya kusubir haipatikan kabisaUko sahihi mkuu nankume! Lakini kumbuka huyo huyo Higuain si ndiye aliikosesha ubingwa wc 2014, coppa america na Chile pia,, tazama kwenye club zake alizocheza since REAL MADRID-NAPOLI and now JUVENTUS jamaa kaperform vizuri sana...ila kwenye tim yake ya taifa sioni akifanya maajabu hayo.
Mkuu! Kwa formation ya 4-2-3-1 mbona inawezekana kabisa...De Maria kushoto-Dybala kati-Messi kulia...mbele Lcardi,, Lanzini or Aguero...ila tusiwategemee wote kwenye ukabaji...Aguero mzito, Dybala nae sio mkabaji sana
Anatembea na wake za wachezaji wenzake, hana adabu hata dyabala atajaza idadi hawezi kucheza ,hayo ndio maneno ya sampaoli pia ,sampaoli anasema waliangalie kombe la Dunia wakiwa holiday. Kuna Aguero na gonzelo Hakuna visingizioView attachment 748872
Wakuu! Mwenye kujuwa atuambie ni nini kimetokea baina yao? Fundi kama huyu utamuachaje kwenda urussi!!! badala yake anamchukua Higuain....Ndio maana timu inakuwa dependant on single man, Lapulga....Au wapo bora zaidi yake kwa namba 9?
Haya ukija kwa Dybala i don't think kama amemuita kikosini....all years hatunaga bahati na makocha,, huyu Sampaoli naye ni wale wale tu!