BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
- Thread starter
- #61
Anatembea na wake za wachezaji wenzake, hana adabu hata dyabala atajaza idadi hawezi kucheza kocha ,hayo ndio maneno ya sampaoli pia ,sampaoli anasema waliangalie kombe la Dubai wakiwa holiday. Kuna Aguero na gonzelo Hakuna visingizio
Hatari sana.