Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
Kwa hiyo unashauri kila mlango utundikwe bango lililoandikwa "BEWARE OF CONMEN"?😂Hapo anataka kuoa hapo binti wa kiislam
Yale mambo ya Ben Pol ndio kama hayo.
Ama msanii Barnaba
Wakiachana tu mtu anarudi kwenye dini yake
TakbiiirMa shaa Allah
Allahu Akbar.Mshambuliaji wa klabu ya @yangasc @clementinho49 amebadili dini na kuwa muislamu hii leo mbele ya Kaimu Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Walid Alhad Omari, ikiwa ni siku ya kwanza ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Mzize kwa sasa atakuwa akitumia jina la Walid Mzize.
Ramadhan Kareem
View attachment 2562549
Allahu AkbarTakbiiir
Amemfata Masihi Yesu alayhi salaam. Mfuasi wa kweli wa Yesu ni Muislam.Amemkataa Kristo kuwa Bwana na mwokozi wake!! Hasara iliyoje mbinguni ni huzuni kubwa
Kwani Yanga ndiyo walimlazimisha awe Muislam?Kwa hiyo akitemwa utopoloni atarudi dini yake Sio?
Ma shaa Allah, kama kabadili dini kwa ajili ya futari, sifa za kumtoa kizani na kumuingiza kwenye nuru ziende kwa kina mama wa kiislaam, kwa kukaangiza tu, Ma shaa Allah.mroho wa futari
Haujawahi kuwa na akili, Clementinho ana influence gani hapa mkono kuwa nini asimforce Mayele au Bangala amfuate huyo chipukizi ?GSM bhana kaamua ku force dogo abadilike