Striker wa Yanga Clement Mzize abadili Dini

Striker wa Yanga Clement Mzize abadili Dini

Mshambuliaji wa klabu ya @yangasc @clementinho49 amebadili dini na kuwa muislamu hii leo mbele ya Kaimu Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Walid Alhad Omari, ikiwa ni siku ya kwanza ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

Mzize kwa sasa atakuwa akitumia jina la Walid Mzize.

Ramadhan Kareem

View attachment 2562549
STRAIKER ndo nini?
 
Mshambuliaji wa klabu ya @yangasc @clementinho49 amebadili dini na kuwa muislamu hii leo mbele ya Kaimu Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Walid Alhad Omari, ikiwa ni siku ya kwanza ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

Mzize kwa sasa atakuwa akitumia jina la Walid Mzize.

Ramadhan Kareem

View attachment 2562549kama hajafosiwa na mwanamke au mtu yeyote yule ni Imani yake imemshawishi abidili yupo sahihi kabisa,ngoja afurahie uislamu wake
 
Kama ni kwel ana badili kisa ndoa ni bwege tu .mwanaume yoyote anae badili dini ili amfate mkewe ni kiazi tu
Tena ni Bwege cubic, Ke mwenyewe ni kiumbe kisichojua kinataka nini, sasa Me unaanzaje kukaza fuvu ili tu umuoe, je kesho Ke akibadili gia angani hakutaki anataka kuolewa na Me mwingine?
 
Iki kipindi cha Ramadhan biashara yangu inashuka sana, badala ya kuchinja watano inabidi niwe nachinja mmoja tu!

Nitawamisi wateja wangu kama wewe mpaka Ramadhan iishe!
Sauti kidogo ili wasikusikie vizuri...[emoji847]
 
Back
Top Bottom