Striker wa Yanga Clement Mzize abadili Dini

Striker wa Yanga Clement Mzize abadili Dini

STRAIKER ndo nini?
Mimi mwenyewe nilikuwa napenda kuandika hivyo nilikuwa sijui ka kuna watu nawaboa mpaka mdau mmoja aliponitolea uvivu
Screenshot_20230323-143339.png
 
Binafsi nadhani kubadili dini kuna maana zaidi kama una changamoto ngumu za kimaisha mfano magonjwa, mikosi, nk. ambazo umekaa muda mrefu na kupitia dini yako umeshindwa kuzitatua. Hapo unaweza kujaribu upande wa pili.

Ila kama umefikia mafanikio fulani ukiwa katika dini fulani halafu kwa mihemko, tamaa au kujaribu kuridhisha mtu au watu fulani ukashawishika kubadili dini, kuna mabaya yanaweza kuja kukukuta huko mbele yatakayoteketeza kila ulichofanikiwa.

Huo ni mtazamo wangu tu.
 
Mshambuliaji wa klabu ya @yangasc @clementinho49 amebadili dini na kuwa muislamu hii leo mbele ya Kaimu Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Walid Alhad Omari, ikiwa ni siku ya kwanza ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

Mzize kwa sasa atakuwa akitumia jina la Walid Mzize.

Ramadhan Kareem

View attachment 2562549
Mashaallah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajabu Watu wanahangaika na Dini Karne hii, hakuna mtu ataingia peponi kwa Dini yake isipokuwa Matendo yake Mema.

Rekebisheni matendo yenu kuwa mema ndipo mtaiona Pepo.
 
Ni uamuzi wake, ni maisha yake. Hata Shomari Kapombe naye tulisikia amebadili dini. Hivyo binafsi sioni kama kuna tatizo, zaidi ya kumtakia tu heri kwenye imani yake mpya.
 
Hahahahaha daah oya mwandishi kachukua head katunga habari any way ni baba yake jamani sio yeye
 
Back
Top Bottom