Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
STRAIKER ndo nini?Mshambuliaji wa klabu ya @yangasc @clementinho49 amebadili dini na kuwa muislamu hii leo mbele ya Kaimu Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Walid Alhad Omari, ikiwa ni siku ya kwanza ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Mzize kwa sasa atakuwa akitumia jina la Walid Mzize.
Ramadhan Kareem
View attachment 2562549