The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Wewe ndiye unayetakiwa kujibu swali langu,hapa issue ni huyo unayemtetea kumtukana faiza,UNAONAJE KWAMBA UNGEJIBU SWALI LANGU?
Acha kujitoa ufahamu wewe,hapa naongelea matusi aliyomtukana Faiza,je sheria za JF zinamruhusu yeye kumtukana FaizaFoxy ? achana na hilo neno Striker kwanza,jikite kwenye issue ya huyo jamaa yako kumtukana Faiza na kumdhalilisha kiasi hicho.
Kwahiyo uongozi wa JF umeamua kutuacha tufanye tunavyotaka?Lazima ujiheshimu ndo utapata heshima
Maana mambo hubadika
Hujui English we bibi masahihisho yako ishia kwenye vitenzi na nomino za Madafu...= Striker
Kiufasaha wa msamiati wa Kingereza "striker" huwa ni mmoja tu, ondowa hiyo s inayoashiria uwingi. C haipo kabisa katika hilo neno.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Sipo hapa kumtetea au kumtukana yeyote nje na ndani ya JF. Hayo matusi watajuana wao waliotukanana. Kwangu mimi nataka kufahahamu kama uwingi wa STRIKER siyo STRIKERS kama alivyosema FaizaFoxy?? Kama unalijua jibu nielimisheWewe ndiye unayetakiwa kujibu swali langu,hapa issue ni huyo unayemtetea kumtukana faiza,
Je yeye yupo juu ya sheria za JF?
Unaona hajafanya kosa kwa kumtukana Faiza na kumdhalilisha?
UNAONAJE KWAMBA UNGEJIBU SWALI LANGU?
Mimi nimejikita kwenye matusi aliyoyatoa huyo unayemtetea,kuhusu usahihi wa hilo neno,kajadili na wengine.Sipo hapa kumtetea au kumtukana yeyote nje na ndani ya JF. Hayo matusi watajuana wao waliotukanana. Kwangu mimi nataka kufanahamu kama uwingi wa STRIKER siyo STRIKERS kama alivyosema FaizaFoxy?? Kama unalijua jibu nielimishe
Kwahiyo ukipata jibu la hilo neno ndio itahalalisha matusi aliyotukanwa FaizaFoxy na huyo unayemtetea?Akitwambia kuwa neno striker halina wingi ambao ni strikers basi tutamuelewa tofauti na hapo ni Ubaya ubwela
Kwahiyo uongozi wa JF umeamua kutuacha tufanye tunavyotaka?
hakuna sheria inayomkataza member kumrekebisha member mwenzake,ila kuna sheria zinakataza matusi,kejeli na udhalilishaji,
Maxence Melo Active Moderator njooni mtoe ufafanuzi kama kuna watu wao kudhalilisha wenzao ni ruksa?
Mimi nimejikita kwenye umoja na uwingi wa neno striker. Kuhusu matusi kajadili na wengineMimi nimejikita kwenye matusi aliyoyatoa huyo unayemtetea,kuhusu usahihi wa hilo neno,kajadili na wengine.
Jibu swali je neno striker halina wingi ? Ukijibu Mimi ntakuwa sina tatizo na matusi maana mambo hubadilikaKwahiyo ukipata jibu la hilo neno ndio itahalalisha matusi aliyotukanwa FaizaFoxy na huyo unayemtetea?
Mbona unakwepa hoja? au wewe ndiye mleta mada umekuja na ID nyingine?JF inazuia kuandika uongo na Faiza kaandika uongo kuwa neno striker halina wingi so kuandika uongo JF ni ruksa sio?
Huna hoja kaa pembeni Moderator lazima wamchukulie hatua huyo unayemtetea.Jibu swali je neno striker halina wingi ? Ukijibu Mimi ntakuwa sina tatizo na matusi maana mambo hubadilika
Mbona unakwepa hoja? au wewe ndiye mleta mada umekuja na ID nyingine?
Matusi aliyotukanwa Faiza yanaruhusiwa humu au hayaruhusiwi? jibu swali acha kuruka ruka.
Sasa kilichokuwasha kuquote comment yangu ni kipi wakati umeona kua mimi najadili matusi ya huyo mtu wenu?Mimi nimejikita kwenye umoja na uwingi wa neno striker. Kuhusu matusi kajadili na wengine
Umepaniki sana...!!!Sasa kilichokuwasha kuquote comment yangu ni kipi wakati umeona kua mimi najadili matusi ya huyo mtu wenu?
Kudanganya JF ni ruksa?Mbona unakwepa hoja? au wewe ndiye mleta mada umekuja na ID nyingine?
Matusi aliyotukanwa Faiza yanaruhusiwa humu au hayaruhusiwi? jibu swali acha kuruka ruka.
Nikipaniki huna uwezo wa kujibishana na mimi,mpaka hapa najitahidi kwa kutumia lugha ya staha,Umepaniki sana...!!!
Jibu swali kwanza tuambie neno striker halina wingi Mimi matusi hayanihusu ?
Naona unatumia ID zako zote kwa pamoja mpaka unajisahau unarudia swali lile lile tu.Kudanganya JF ni ruksa?