Strikers leaving the pitch

Strikers leaving the pitch

UNAONAJE KWAMBA UNGEJIBU SWALI LANGU?
Wewe ndiye unayetakiwa kujibu swali langu,hapa issue ni huyo unayemtetea kumtukana faiza,
Je yeye yupo juu ya sheria za JF?

Unaona hajafanya kosa kwa kumtukana Faiza na kumdhalilisha?
 
Acha kujitoa ufahamu wewe,hapa naongelea matusi aliyomtukana Faiza,je sheria za JF zinamruhusu yeye kumtukana FaizaFoxy ? achana na hilo neno Striker kwanza,jikite kwenye issue ya huyo jamaa yako kumtukana Faiza na kumdhalilisha kiasi hicho.

Lazima ujiheshimu ndo utapata heshima

Maana mambo hubadika
 
= Striker

Kiufasaha wa msamiati wa Kingereza "striker" huwa ni mmoja tu, ondowa hiyo s inayoashiria uwingi. C haipo kabisa katika hilo neno.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Hujui English we bibi masahihisho yako ishia kwenye vitenzi na nomino za Madafu...
 
Wewe ndiye unayetakiwa kujibu swali langu,hapa issue ni huyo unayemtetea kumtukana faiza,
Je yeye yupo juu ya sheria za JF?

Unaona hajafanya kosa kwa kumtukana Faiza na kumdhalilisha?
Sipo hapa kumtetea au kumtukana yeyote nje na ndani ya JF. Hayo matusi watajuana wao waliotukanana. Kwangu mimi nataka kufahahamu kama uwingi wa STRIKER siyo STRIKERS kama alivyosema FaizaFoxy?? Kama unalijua jibu nielimishe
 
Sipo hapa kumtetea au kumtukana yeyote nje na ndani ya JF. Hayo matusi watajuana wao waliotukanana. Kwangu mimi nataka kufanahamu kama uwingi wa STRIKER siyo STRIKERS kama alivyosema FaizaFoxy?? Kama unalijua jibu nielimishe
Mimi nimejikita kwenye matusi aliyoyatoa huyo unayemtetea,kuhusu usahihi wa hilo neno,kajadili na wengine.
 
Kwahiyo uongozi wa JF umeamua kutuacha tufanye tunavyotaka?
hakuna sheria inayomkataza member kumrekebisha member mwenzake,ila kuna sheria zinakataza matusi,kejeli na udhalilishaji,

Maxence Melo Active Moderator njooni mtoe ufafanuzi kama kuna watu wao kudhalilisha wenzao ni ruksa?

JF inazuia kuandika uongo na Faiza kaandika uongo kuwa neno striker halina wingi so kuandika uongo JF ni ruksa sio?
 
JF inazuia kuandika uongo na Faiza kaandika uongo kuwa neno striker halina wingi so kuandika uongo JF ni ruksa sio?
Mbona unakwepa hoja? au wewe ndiye mleta mada umekuja na ID nyingine?

Matusi aliyotukanwa Faiza yanaruhusiwa humu au hayaruhusiwi? jibu swali acha kuruka ruka.
 
Mbona unakwepa hoja? au wewe ndiye mleta mada umekuja na ID nyingine?

Matusi aliyotukanwa Faiza yanaruhusiwa humu au hayaruhusiwi? jibu swali acha kuruka ruka.

Jibu swali kwanza tuambie neno striker halina wingi Mimi matusi hayanihusu ?
 
Back
Top Bottom