Strikers leaving the pitch

Strikers leaving the pitch

Kwahiyo maneno Kama

Mungu akupe HEKIMA Sana I pray for you muache kujifanya mnajua kila kitu kumbe kuna mambo hata hamjui
Wewe jamaa ulikua ni mmoja wa member ambao nilikua nawarespect sana ila naona kama vile unajishushie heshima yako kwangu,

Hicho ulichokiandika hapo kinahusiana nini na hoja yangu?
 
Unaweza kuonyesha comment niliyosema ''Siogopi ban?''
1722325013627.png
 
Kwahiyo hapo kuna neno nimesema siogopi ban? nimesema ban ni kawaida coz sheria zipo wazi na usipozifuata utapigwa ban,so hapo ban ni kawaida kama umevunja sheria,

Acha kulazimisha tafsiri yako ya uelewa ndio iwe nilichokikusudia,basi hapo mwenyewe unajiona mjanja!
Usiirembeshe, BAN KWAKO NI KAWAIDA. Kuna wengine humu BAN KWETU SI KAWAIDA. Maana hatufanyi yanayopelekea kupigwa BAN. Ukawaida au si ukawaida hakutokani na uwepo wa sheria, bali ni kawaida yako kuvunja au kutovunja sheria zinazopelekea kupigwa BAN au USIPIGWE BAN.

Ukifikia kuona ban kwako ni kawaida, maana yake kuvunja sheria kwako ni kawaida. YAANI HAPA WALA USIREMBESHE
 
Maneno mengi ila umeandika matapishi matupu,
Uwezo wako wa uelewa na kuchanganua mambo ni mdogo sana,endelea kujifunza.
 
Huna hoja..!!
Wewe sio huna hoja tu,hata ufahamu huna,sijui akili zako umeziweka kwenye mfuko wa shati na kuamua kutembea na kichwa tu! mods wameona huyo unayemshobokea,kavunja sheria na kapigwa ban kwenye huu uzi,ila wewe unajifyatua akili tu kama vile mleta mada atakuja kukulipa.
 
Unahamisha sana magoli.
 
Mwache tuu Dr , labda pengine inamsaidia uponyaji wake wa Kiroho,,Tumeumbwa na kujaaliwa hulka tofauti tofauti na ndio Maisha yanabalansi poa na yanasonga

Awe positive na humble hiyo ndo tiba ya kiroho
 
Unahitaji Positive na Humble lakini Kuna Mwingine Anahitaji Negative na Proud,, arrogant or boastful....lazima iwe hivyo ili Maisha yaende...hayahitaji kukaza mnoo shingo.
 
Of course lakini siumeona alichopewa ??

Mkimlea hivi atajisahu atakuwa anaona kila MTU yupo naye sawa.

Anabidi kufunzwa heshima na maadili ili azeeke vizuri
 
Back
Top Bottom