Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Shemela, shemela, shemelaaaa...!! Mekuita mara tatu..!!Faiza neno fasaha ni "ondoa" sio ondowa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shemela, shemela, shemelaaaa...!! Mekuita mara tatu..!!Faiza neno fasaha ni "ondoa" sio ondowa
Wewe jamaa ulikua ni mmoja wa member ambao nilikua nawarespect sana ila naona kama vile unajishushie heshima yako kwangu,Kwahiyo maneno Kama
Mungu akupe HEKIMA Sana I pray for you muache kujifanya mnajua kila kitu kumbe kuna mambo hata hamjui
Unaweza kuonyesha comment niliyosema ''Siogopi ban?''Unaposema huogopi BAN maana yake nini?
Unaweza kuonyesha comment niliyosema ''Siogopi ban?''
Nikajua tayariNipo mkuu 😂 Mungu ni mwema tetesi hazijawa breaking news😭
Kwahiyo hapo kuna neno nimesema siogopi ban? nimesema ban ni kawaida coz sheria zipo wazi na usipozifuata utapigwa ban,so hapo ban ni kawaida kama umevunja sheria,
Usiirembeshe, BAN KWAKO NI KAWAIDA. Kuna wengine humu BAN KWETU SI KAWAIDA. Maana hatufanyi yanayopelekea kupigwa BAN. Ukawaida au si ukawaida hakutokani na uwepo wa sheria, bali ni kawaida yako kuvunja au kutovunja sheria zinazopelekea kupigwa BAN au USIPIGWE BAN.Kwahiyo hapo kuna neno nimesema siogopi ban? nimesema ban ni kawaida coz sheria zipo wazi na usipozifuata utapigwa ban,so hapo ban ni kawaida kama umevunja sheria,
Acha kulazimisha tafsiri yako ya uelewa ndio iwe nilichokikusudia,basi hapo mwenyewe unajiona mjanja!
Maneno mengi ila umeandika matapishi matupu,Usiirembeshe, BAN KWAKO NI KAWAIDA. Kuna wengine humu BAN KWETU SI KAWAIDA. Maana hatufanyi yanayopelekea kupigwa BAN. Ukawaida au si ukawaida hakutokani na uwepo wa sheria, bali ni kawaida yako kuvunja au kutovunja sheria zinazopelekea kupigwa BAN au USIPIGWE BAN.
Ukifikia kuona ban kwako ni kawaida, maana yake kuvunja sheria kwako ni kawaida. YAANI HAPA WALA USIREMBESHE
Huna hoja..!!Maneno mengi ila umeandika matapishi matupu,
Uwezo wako wa uelewa na kuchanganua mambo ni mdogo sana,endelea kujifunza.
Wewe sio huna hoja tu,hata ufahamu huna,sijui akili zako umeziweka kwenye mfuko wa shati na kuamua kutembea na kichwa tu! mods wameona huyo unayemshobokea,kavunja sheria na kapigwa ban kwenye huu uzi,ila wewe unajifyatua akili tu kama vile mleta mada atakuja kukulipa.Huna hoja..!!
Unahamisha sana magoli.Wewe sio huna hoja tu,hata ufahamu huna,sijui akili zako umeziweka kwenye mfuko wa shati na kuamua kutembea na kichwa tu! mods wameona huyo unayemshobokea,kavunja sheria na kapigwa ban kwenye huu uzi,ila wewe unajifyatua akili tu kama vile mleta mada atakuja kukulipa.
Mwache tuu Dr , labda pengine inamsaidia uponyaji wake wa Kiroho,,Tumeumbwa na kujaaliwa hulka tofauti tofauti na ndio Maisha yanabalansi poa na yanasongaMkuu tulia sio lazima kila Uzi uchangie
Mwache tuu Dr , labda pengine inamsaidia uponyaji wake wa Kiroho,,Tumeumbwa na kujaaliwa hulka tofauti tofauti na ndio Maisha yanabalansi poa na yanasonga
Awe positive na humble hiyo ndo tiba ya kiroho
Awe positive na humble hiyo ndo tiba ya kiroho
Awe positive na humble hiyo ndo tiba ya kiroho
Unahitaji Positive na Humble lakini Kuna Mwingine Anahitaji Negative na Proud,, arrogant or boastful....lazima iwe hivyo ili Maisha yaende...hayahitaji kukaza mnoo shingo.Awe positive na humble hiyo ndo tiba ya kiroho
Unahitaji Positive na Humble lakini Kuna Mwingine Anahitaji Negative na Proud,, arrogant or boastful....lazima iwe hivyo ili Maisha yaende...hayahitaji kukaza mnoo shingo.