MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Shem! hata mimi limwanamke kama kila siku linaniletea ayo mapozi ya kuvua nguo kwa muziki nitalifikiria ni freemason tu. Haya mambo yanatakiwa yawe once in a grey moon.
What makes you think kuwa anauwezo wa kuitoa burudani hiyo kila siku? Kama wewe tu unayepokea huwezipokea kila siku ye anayetoa ataweza toa kila siku? ......... ukifurahi na kuwa na nafasi!
Haswaaaa shemeji tatizo letu wa siku hozi tumefungiwa nira shingoni, si wa kike si wa kiume
Hahahahha .......... huyu namjua mie wenyewe na ninasema hata nkinyang'anya..natoa wiki tu watanrudishia wenyewe...... (Labda aibiwe na wa kale, hawa wa sasa hawa wasojua kumfunga kamba kuku ngeni nyumbani au ugenini, mbona watalia??)
Umeona sasa BAK,
Kule kwenye clubs mtu anaweza kwenda kila siku bila kukinai hadi anakuwa teja,
Mke bwana ni kitu kingine......Unapenda, unamheshimu na kufanya naye kila kitu ila kuna wakati anakuwa kama dada yako ambaye ni special!!
Babu DC!!
Kwa hiyo watu walichukia hiyo ATM card ku-swapishwa pale?
Mengine yooooote hawakuona offensive? kazi kweli kweli...
Hapo tunaelewana Babu DC tatizo linakuja pale ambapo wengi wetu tunaukimbia ukweli au hali halisi ya maisha........... kuku ni kuku hata ukimjengea kibanda cha tiles bado ataenda shambani kuchakura. Mwache achakure but siku ukiamua kumpa ya menu, toa menyu ya uhakika!Dada MwanajamiiOne,
Kuna jibu nimempa BAK hapo juu.
Ndiyo maana nikasema kuwa kama hii dose inatolewa kama menu ya siku kuu (Idd au Xmass) itafaa sana. Ikianza kuwa Panadol basi inakosa maana!!
Hata hivyo, nakubaliana na wewe kwamba mtoa burudani hawezi kuitoa kila siku ila pia kuna shida upande wa mpokeaji. Wakati hawezi kupokea ya sweetie wake kila siku, anaweza kuhudhuria clubs kila siku ya Mungu kwa sababu hiyo hiyo.
Nadhani hapo umenielewa!!
Babu DC!!
Lizzy, mbona umeongelea wanaume tu? hizi strip club zipo hata za audience ya wanawake na stripperz wanakuwa wanaume. Pia nyengine zinakwenda mbali kabisa zile wanaita hardcore bash (hapo mzuka ukipanda stripper anamalizana na mwenye mzuka apo apo mbele ya audience) na mwenza huko nyumbani anatoa ruhusa kabisa ya kwenda sehemu kama hizi.
My Take:
Kama una mwenza basi usijaribu kutafuta mambo ya kuvumbua vumbua nje kwani kuna siku utamteremsha hadhi mwenza wako kwa kumlinganisha na ulioyaona nje.
............. The End..........
...Ni kweli kabisa MJ1...hata Wanaume wanaogopa kuonyesha mapenzi kwa kuogopa kuambiwa wamelishwa limbwata LOL! ila Limbwata la nyumba ndogo linakubalika 🙂🙂
I think just like you. If that was offensive what about all the rest?I guess the controversy was about the objectification of women and their use as hypersexualized props for the fantasies of male rappers.
But my thing was, all those women were adults and above all else they were willing participants. So I didn't really get the beef.
Hapo tunaelewana Babu DC tatizo linakuja pale ambapo wengi wetu tunaukimbia ukweli au hali halisi ya maisha........... kuku ni kuku hata ukimjengea kibanda cha tiles bado ataenda shambani kuchakura. Mwache achakure but siku ukiamua kumpa ya menu, toa menyu ya uhakika!
I think just like you. If that was offensive what about all the rest?
If one decides to get offended, or to find any objectification in there,
I don't see why that swap alone, what about all the rest?
Well, personally sijaipenda sana but it was a video to see. I have seen it now.
heheeh shem hapa niko vere neutral. Unajua shem wanawake wengi (sio wote) wakidanganywa saluni kwamba kitu flani kinawapagawisha wanaume, basi hawajiangalii kwenye vioo na kujithamini kama hicho walichoambiwa kinaendana na mwonekano wao au mazowea ya wenza wao?. Utakuta jimama lina kilo 105 linakuja kukufanyia lap dance , linakukalia hata pumzi haupati halafu hiyo ndio anachukulia kwamba anakupagawisha na kukukoleza, pengine kwakuwa tu kaona sredi ya Lizzy kwamba lap dance inawapagawisha wanaume.Hahahaahha......hii post na ilaaniwe ikose mwanga mbele ya macho ya wasomaji
eti Freemasons............... Shemeji unampendelea Mbu bwana akhaaa..................Sa mi kesi zangu ntapeleka wapi?
Umeona eh shemeji, la nyumba ndogo sawa tena mtu ytu radhi kukiri proudly kuliko la nyumba kubwa! mwe!
Shida ni hamu baba....Mate yakishaanza kudondoka, inakuwa ngumu kukaa home kwani kila kitu kitabadilika na kuwa kama monsters!! Labda kama hujawahi kusikia au kuona!!
Babu DC!!
heheeh shem hapa niko vere neutral. Unajua shem wanawake wengi (sio wote) wakidanganywa saluni kwamba kitu flani kinawapagawisha wanaume, basi hawajiangalii kwenye vioo na kujithamini kama hicho walichoambiwa kinaendana na mwonekano wao au mazowea ya wenza wao?. Utakuta jimama lina kilo 105 linakuja kukufanyia lap dance , linakukalia hata pumzi haupati halafu hiyo ndio anachukulia kwamba anakupagawisha na kukukoleza, pengine kwakuwa tu kaona sredi ya Lizzy kwamba lap dance inawapagawisha wanaume.
I know, I like strip teases. Mi sijasema sipendi zote.Have you been to a strip club before? You know that there are male strippers too, right?
Sasa mstaafu unataka kutwambia tuiwache "hamu" itucontrol? lol
heheeh shem hapa niko vere neutral. Unajua shem wanawake wengi (sio wote) wakidanganywa saluni kwamba kitu flani kinawapagawisha wanaume, basi hawajiangalii kwenye vioo na kujithamini kama hicho walichoambiwa kinaendana na mwonekano wao au mazowea ya wenza wao?. Utakuta jimama lina kilo 105 linakuja kukufanyia lap dance , linakukalia hata pumzi haupati halafu hiyo ndio anachukulia kwamba anakupagawisha na kukukoleza, pengine kwakuwa tu kaona sredi ya Lizzy kwamba lap dance inawapagawisha wanaume.
Duuuuuuuuhhhhhhhh,
Kama huyo mwanamume ni feather weight lazima atapata mnyauko wa bottom half....Na huo ndio unakuwa mwisho wa kumtukuza Mungu!!
Babu DC!!
Salute mstaafuWewe ulishaona hamu inawekewa order au kufanyiwa booking?