Baby Doll
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 4,716
- 21,530
Wanalipiza vibaya sasa[emoji13]Kenya ilikuwa inaongoza kwa wanawake kupiga wanaume sasa naona kama wanaume nao wanalipiza
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanalipiza vibaya sasa[emoji13]Kenya ilikuwa inaongoza kwa wanawake kupiga wanaume sasa naona kama wanaume nao wanalipiza
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13], ningepata mmoja ningefurahi sana. Ila ndiyo niwe najitunzia hela yangu ya mazishi, maana kifo natembea nacho.nimeishinao chuo yaani wakipenda wanapenda kweli
Hizo bangi wanavuta na vumbi si bure[emoji13][emoji13][emoji13]Mirungi wanayo tafuna jumlisha na bangi
Bado yule aliyepasuliwa na shoka kichwani juzi.Ni juzi tu mdada wa huko Kenya kamiminiwa risasi 47 na jamaa yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomi Chepkemboi ambaye ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Pwani nchini Kenya, anapigania uhai wake hospitali baada ya kuchomwa visu na aliyekuwa mpenzi wake, Fikirini Jacob, kwa kosa la kuirudisha hela aliyomtumia.
Toa maoni yako.
Kumbe unaitwa naomi[emoji86]get well soon wajina [emoji17] mhh kuna watu makatili.
Hawana shida hata,ila dadazetu wanaodate nao wanasema hawapigi miti vizuri wanausabato flaniKumbe[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13], ningepata mmoja ningefurahi sana. Ila ndiyo niwe najitunzia hela yangu ya mazishi, maana kifo natembea nacho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume ya Kenya wapo on fire.Ni juzi tu mdada wa huko Kenya kamiminiwa risasi 47 na jamaa yake
Sent using Jamii Forums mobile app
That's not love. You can't hurt someone you love. It's pure infatuation.Que Dios tenga piedad de esta generacion.ni Mapenzi tu hakuna lingine
Wajinga tu na wenye akili ndogo, ni kama vile hakuna ladies wa kutosha au midomo zege, au labda hawana njia mbadala wakikataliwa na wanawake, ladies wa TZ kaeni mbali nawo kabisa...Kwani wanaume wa Kenya wanavuta bangi gani? Maana wana hasira za karibu na maamuzi ya ajabu.
Sent using Jamii Forums mobile app