Student stabbed by her alleged ex-lover at Pwani University

Student stabbed by her alleged ex-lover at Pwani University

inawezekana karudisha pesa zote alizotumia kapata mtu mwengine.kuna siri ndani yake
Naomi Chepkemboi ambaye ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Pwani nchini Kenya, anapigania uhai wake hospitali baada ya kuchomwa visu na aliyekuwa mpenzi wake, Fikirini Jacob, kwa kosa la kuirudisha hela aliyomtumia.

Toa maoni yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wanaume wa Kenya wanavuta bangi gani? Maana wana hasira za karibu na maamuzi ya ajabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wajinga tu na wenye akili ndogo, ni kama vile hakuna ladies wa kutosha au midomo zege, au labda hawana njia mbadala wakikataliwa na wanawake, ladies wa TZ kaeni mbali nawo kabisa...
 
Back
Top Bottom