Malila Mungu akubariki na aendelee kubariki kazi za mikono yako.........wazo lako ni nzuri saana naomba na mimi nikuunge mkono kwenye mambo mawili......Mosi ni ufugaji wa ngombe na kilimo cha Apple........nianze na Ufugaji wa ngombe......kwa Tanzania wapo wafugaji wenye mashamba mazuri na mbegu nzuri saana za ngombe LAKINI hawajitangazi...na taarifa zao ni ngumu saana kuzipata kwenye vitabu au mitandaoni.......hawana website wala kwenye mitandao ya kijamii hawapo...........mimi nimefanya utafiti wa ngombe wa maziwa na nyama...tangu mwaka 2012...nilijaribu kuangalia maeneo mawili...ufugaji kwa lengo la kuuza maziwa..na ufugaji kwa minajili ya nyama...nilichogundua..na kuambiwa....watanzania hatuna utamaduni wa kunjwa maziwa....familia zetu maziwa sio kipaumbele...Kenya kwenye kila mlo maziwa yanakuwepo mezani...so... soko la maziwa lipo kubwa saana Kenya na wanaviwanda vikubwa saana vya maziwa na viwanda bingi vidogodogo vinavyomilikiwa na cooperative society.....tambua brookside walinunua kiwanda kikubwa cha serekali cha maziwa kilichokuwa Arusha baada ya kufanya market analysis walikigeuza sehemu ya kukusanyia maziwa..baadae wakafnga kabisa na kuondoka......MBEGU BORA ZA NGOMBE KWA TANZANIA.......ukimtembekea SHASHA pitia na National
Artificial Insemination Centre...kipo USA river wana mashahawa ya mpwapwa breed na ngombe wengine ushauri watakupa mzuri tu....ASAS unaweza watembelea ila ukiwaandikia mail wala simu hawpokei wala hawajisumbui kujibu...ni wakala wa VIKING GENETICS YA DENMARK WANAUZA MASHAHAWA YAO.......Ukiweza pia kuna mkulima moja wa kingereza yupo iringa anaitwa Philips sina contact ila ukiulizia tu anajukikana saana.......ILA NAKUSHAURI tunisha budget yako utembelee Kenya na hapa NA RECOMEND SHAMBA MOJA TU.......ukiwatemebelea TASSELS DIARY FARM (WATAFUTE FACE BOOK AND WANAWEBSITE YAAO) wana kila kitu kuhusu ngombe na elimu wanayotoa lazima ushibe kabisa wala hutatamani tena kutembelea wafugaji wengine........
http://www.tassellsdairyfarm.net/...........hawa ni mtu na mke wamebobea kwenye ufugaji wa ngombe wa maziwa, mbuzi,kondoo na ngombe wa nyama...ni wataalam kweli......kuhusu ngombe wa NYAMA kuna ngombe wanaitwa FLECKVIEH...kampuni inaitwa,..... Fleckvieh Genetics East Africa..... ukipata hawa ngombe madume 20 ndani ya miezi sita ....wanaweza pata uzito mpaka wa kilo 300......watafute facebook na hata you tube utawapata..
http://www.fleckviehgeneticsea.com/................kilimo cha APPLE nilikuwa nahisi apple zinalimwa tu sehemu kama lushoto na Iringa KUMBE kuna APPLE unaweza ziotesha hata hapa dar es salaam na zikakuwa vizuri kabisa....kuna wamarekani walishafanya reseach na kuja na matokeo mazuri kabisa wanaitwa KUFFET CREEK ......
http://www.kuffelcreekapplenursery.com/.......Wanazo mbegu za kutosha unaweza otesha sehemu yoyote na ukavuna vizuri tu..
Kuffel Creek Apple Nursery of Uganda, Ltd.
PO Box 74857 (Ntinda-Buye, Kiwatule Road) Kampala, Uganda Tel/Fax +256 312 266 244
jb@kuffelcreekapplenursery.com cell +256 752 651 834
www.kuffelcreekapplenursery.com
____________________________
Pricing: 10-99 $8 each, 100-999 $7 each, 1000-4,999 $6 each,
$5,000+ $5 each tree; email first for shipping quote. Payment and Import Permit are
required prior to shipping; order is not confirmed until the Import Permit is received..........................................kwa leo naomba ni ishie hapa kama kuna mtu atakuwa na swali kuhusu niliyoyaandika ..........akiuliza naweza toa ufafanuzi..........mniwie radhi kwa maelezo marefu