- Thread starter
- #41
Hongera na mihangaiko ya kila siku mkuu...vipi ile ishu ilifikia wapi?
Nimekutupia mawasiliano kwa pm yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera na mihangaiko ya kila siku mkuu...vipi ile ishu ilifikia wapi?
Tayari water test kit imeshakuja, nimepata toka Uswiss. Pia nimeendelea na study tour yangu vizuri. Kama wajasiriamali tunaotaka kufanikiwa, ni lazima tutoke ili tuone wenzetu wanafanya nini na kwa njia gani ktk jambo lile lile. Inaweza kukufumbua macho au yaweza kukupunguzia gharama kwa kujifunza kwa mwenzako.
Hongera sana kwa hatua hiyo natumai tutafaidika wengi.