Study tour 2015

Study tour 2015

Hongera sana mkuu...samahani naomba kujua mahali anapopatikana huyo padri hapo moro,nina mpango wa kujifunza ufugaji wa sungura mkuu..

Ngoja niombe kibali chake kisha nitakuelekeza, ila kwake kuna mbuzi katoliki pia na kuku wa kienyeji,kama unajali mambo ya mbuzi katoliki usiende.
 
Mkuu Malila sory kwanza nilichelewa sana kuona huu uzi, ndo nimeuona leo, Hongera sana kwa Tour yako na ndo kinacho takiwa, Kwa upande wangu hakuna shida but nilitaka kujua Ratiba yako kwa sababu kwa sasa nafanya Realocation nahamisha shamba langu la kuku kutoka Karatu na kuja Arusha Kisongo kwa sababu kadhaa, Na ningekuja time ili nione kama nitakuwa nimekamilisha kufanya instalation za Hydroponic na Red worm ili uweze kucheki na hizo kwa ajili ya Samaki kwa sababu Hydropnic fodder inatumika pia kwa samaki na hii niliona live Kenya.

Kuhusu Kenya uniambie una pendelea nini kule kwa sababu Binafisi nina tour kama 5 huvi na nne zitakuwa Kenya na Moja Uganda, na zitakuwa ni kwenye ishu za Hydroponic, Red worm, Rabbit na Strowbery na uganda ni ishu ya Kuku, so ukiwa tiyari naweza fanya arangement hata tukaenda wote.

Mimi mara nyingi tour zangu za Kenya huwa ni za One day yaani Go n return kwamba naondoka Arusha saa 11 asubuhi na naingia Nairobi saa 4 natembelea wadau na saa 10 nageuza kurudi Arusha na by saa moja au sa mbili usiku nakuwa zangu Arusha na hii ni kwa ajiri ya kupunguza cost na kama unavyo jua kwa sas NAIROBIU ndo jiji ghari kabisa barani Africa limeipiku Lagos Nigeria.

Kwa Kenya kuna mambo mengi unaweza jifunza hasa kwenye ishu za Samaki, Ng'ombe, Mbuzi, kondoo wa kisasa, na kazalika,
 
Last edited by a moderator:
nafikiri nikija wakati umemaliza realocation itapendeza sana, na kama huwa unaingia kwa Uhuru asubuhi na kurudi A town jioni kwangu ni poa zaidi. Pia nitapenda kuangalia projects zote isipokuwa nafaka.

Arusha lazima nije, ni ktk kujifunza na kujiweka sawa zaidi. Kwa ufupi, niko tayari kufuatana nawe hapo jirani kwa Uhuru, na hata pale kwa M7 nitabana haya madafu mpaka tuvuke wote. Cha msingi, nipe makisio ya gharama za Nairobi kwenda na kurudi, A town pa kulala papo. Nipe na makisio ya Ug kwenda na kurudi ili nifungue kibubu cha kazi hiyo 2015.

Be blessed.
 
Nairobi Nauli sio kubwa sana make from Arusha to Nairobi kwenda tu ni kama 24000 na kurudi 24000, but kwa M7 ni lazima kulala make ni mbali ila kwa Nairobi hata ukitoka Nairobi saa 11 jioni bado kuna uhakika wa kufika Arusha by saa 3 usiku
 
Asante sana,

Je makisio kwa M7 unaweza kunipa pia? Itapendeza ili hili zoezi langu litimie bila kuahirisha. Nikija Arusha nitakamilisha mengi,likiwamo la Tanapa.
 
Ngoja niombe kibali chake kisha nitakuelekeza, ila kwake kuna mbuzi katoliki pia na kuku wa kienyeji,kama unajali mambo ya mbuzi katoliki usiende.
Nashukuru mkuu...nasubiri tu hiyo ruhusa,mambo ya mbuzi katoliki haisumbui najua hapo ntapata na darasa jingine.
 
Asante, nitafute week ijayo nitakuwa nimepata picha halisi.
 
Hongera sana mkuuu yaani umenifanya nifunguke macho nami
ukipata maujuzi huko usisite kutumwagia na siye basi tukajifunza
 
Mkuu Malila sory kwanza nilichelewa sana kuona huu uzi, ndo nimeuona leo, Hongera sana kwa Tour yako na ndo kinacho takiwa, Kwa upande wangu hakuna shida but nilitaka kujua Ratiba yako kwa sababu kwa sasa nafanya Realocation nahamisha shamba langu la kuku kutoka Karatu na kuja Arusha Kisongo kwa sababu kadhaa, Na ningekuja time ili nione kama nitakuwa nimekamilisha kufanya instalation za Hydroponic na Red worm ili uweze kucheki na hizo kwa ajili ya Samaki kwa sababu Hydropnic fodder inatumika pia kwa samaki na hii niliona live Kenya.

Kuhusu Kenya uniambie una pendelea nini kule kwa sababu Binafisi nina tour kama 5 huvi na nne zitakuwa Kenya na Moja Uganda, na zitakuwa ni kwenye ishu za Hydroponic, Red worm, Rabbit na Strowbery na uganda ni ishu ya Kuku, so ukiwa tiyari naweza fanya arangement hata tukaenda wote.

Mimi mara nyingi tour zangu za Kenya huwa ni za One day yaani Go n return kwamba naondoka Arusha saa 11 asubuhi na naingia Nairobi saa 4 natembelea wadau na saa 10 nageuza kurudi Arusha na by saa moja au sa mbili usiku nakuwa zangu Arusha na hii ni kwa ajiri ya kupunguza cost na kama unavyo jua kwa sas NAIROBIU ndo jiji ghari kabisa barani Africa limeipiku Lagos Nigeria.

Kwa Kenya kuna mambo mengi unaweza jifunza hasa kwenye ishu za Samaki, Ng'ombe, Mbuzi, kondoo wa kisasa, na kazalika,

Malila na Chasha,

Nawaomba mtakapokuwa mnaenda kwenye tour ya Ng'ombe huko Kenya mnijumuishe nami, nipo katika ufugaji wa ng'ombe wa maziwa katika small scale ila ninahamu sana ya kujitanua kwa kuanza kufuga ng'ombe kwa ajili ya nyama pia ili at least nifikie malengo ya kuuza ng'ombe kumi kila mwezi. Chonde chonde msiniache nyuma
 
Naam nitakukumbusha,

Nilipitia shamba la ng`ombe Iringa pale njiani kama unaenda Mafinga. Nilipata uzoefu, kwa nini wale jamaa wanafuga ng`ombe wa nyama na sio maziwa, wakati maziwa yana soko sana pale zile za Iringa. Jamaa anafuga Boran na anauza mbegu pia. Na kondoo anafuga kwa wingi shambani.
 
Hongera na mihangaiko ya kila siku mkuu...vipi ile ishu ilifikia wapi?
 
Mkuu Chacha naomba kujua kwa tour ya Uganda hasa unataragia kutembelea miradi ipi??? Kwa sasa nipo Uganda but soon nahamishia makao Mwanza, I may be of help to recomend few
 
Back
Top Bottom