Mkuu
Malila sory kwanza nilichelewa sana kuona huu uzi, ndo nimeuona leo, Hongera sana kwa Tour yako na ndo kinacho takiwa, Kwa upande wangu hakuna shida but nilitaka kujua Ratiba yako kwa sababu kwa sasa nafanya Realocation nahamisha shamba langu la kuku kutoka Karatu na kuja Arusha Kisongo kwa sababu kadhaa, Na ningekuja time ili nione kama nitakuwa nimekamilisha kufanya instalation za Hydroponic na Red worm ili uweze kucheki na hizo kwa ajili ya Samaki kwa sababu Hydropnic fodder inatumika pia kwa samaki na hii niliona live Kenya.
Kuhusu Kenya uniambie una pendelea nini kule kwa sababu Binafisi nina tour kama 5 huvi na nne zitakuwa Kenya na Moja Uganda, na zitakuwa ni kwenye ishu za Hydroponic, Red worm, Rabbit na Strowbery na uganda ni ishu ya Kuku, so ukiwa tiyari naweza fanya arangement hata tukaenda wote.
Mimi mara nyingi tour zangu za Kenya huwa ni za One day yaani Go n return kwamba naondoka Arusha saa 11 asubuhi na naingia Nairobi saa 4 natembelea wadau na saa 10 nageuza kurudi Arusha na by saa moja au sa mbili usiku nakuwa zangu Arusha na hii ni kwa ajiri ya kupunguza cost na kama unavyo jua kwa sas NAIROBIU ndo jiji ghari kabisa barani Africa limeipiku Lagos Nigeria.
Kwa Kenya kuna mambo mengi unaweza jifunza hasa kwenye ishu za Samaki, Ng'ombe, Mbuzi, kondoo wa kisasa, na kazalika,