Study tour 2015

Study tour 2015

Tayari water test kit imeshakuja, nimepata toka Uswiss. Pia nimeendelea na study tour yangu vizuri. Kama wajasiriamali tunaotaka kufanikiwa, ni lazima tutoke ili tuone wenzetu wanafanya nini na kwa njia gani ktk jambo lile lile. Inaweza kukufumbua macho au yaweza kukupunguzia gharama kwa kujifunza kwa mwenzako.
 
Hongera sana kwa hatua hiyo natumai tutafaidika wengi.
 
Haswaa, kuna Mzungu moja kaniletea kwa bei nzuri kabisa. Tulikutana jukwaani kule sarnisa Africa. Samaki sasa watafugika.
 
Back
Top Bottom