Stuka, kila mke/mume ofisini ana bebe wake

Napenda amani sana na huwa nahakikisha nailinda.

Kuna mipaka nimejiwekea na huwa siivuki ukiwemo huu wa mapenzi ofisini/chuo/ shule… Kote huko sijawahi.
Nimesoma una bebe wako humu, watch tena watch carefully 🤣🤣.
 
Para ya mwisho mkuu, nakupa kofia nyingine ya udaktari🤣🤣
 
Napenda amani sana na huwa nahakikisha nailinda.

Kuna mipaka nimejiwekea na huwa siivuki ukiwemo huu wa mapenzi ofisini/chuo/ shule… Kote huko sijawahi.
Ila hapa jf ulishindwa!
 
nina uhakika kwa asilimia 98% wewe ni mama wa nyumbani

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Haha!!? You are married, na kuna ka mams kanakufurahisha huko ofisni unakiri kabisa kushikamana nako?
Bahati nzuri ofisi zetu mwanamke hatii mguu!
Nimesemea huyo mwanamke wangu kama kuna anaempa furaha na amani huko kazini kwake ni nafurahi kusikia hivyo, maisha mafupi sana hivyo ni muhimu kuacha furaha na amani kwa wenzetu, no wivu.
 
Hivi mtu na akili zako timamu kabisa unakwenda kuungama Kwa binadamu mwenzako tena huenda anakuzidi madhambi, hii ni akili ya wapi?

Hivi huwezi kuongea na Mungu direct wewe mwenyewe?

Hizi dini zimewatia watu uzezeta kwelikweli.
Hiki kipengele cha kuungana ama kukiri dhambi zako kwa kiongozi wako wa dini kimekaa vibaya, ona mama wa watu amezidi kupata hatia baada ya kwenda kwa mtu kuungama, huyo muungamishaji akiwa na stress anakuongezea dhambi badala ya kuondolea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…