Stuka, kila mke/mume ofisini ana bebe wake

Stuka, kila mke/mume ofisini ana bebe wake

Napenda amani sana na huwa nahakikisha nailinda.

Kuna mipaka nimejiwekea na huwa siivuki ukiwemo huu wa mapenzi ofisini/chuo/ shule… Kote huko sijawahi.
Nimesoma una bebe wako humu, watch tena watch carefully 🤣🤣.
 
Mnachanganya tabia binafsi za mtu na kazi.

Malaya ni Malaya Tu, kuolewa hakumaanishi siyo Malaya, Malaya hatabaki kuwa Malaya Tu huko makazini ni kisingizio Tu.

Naenda bungeni wabunge wote wanalipwa posho sawa lakini wabunge Malaya wanakazwa kama kawaida, hii ni hulka ya mtu.

Kuna wanawake wameshaacha kazi Kwa kutaja kutowa rushwa ya ngono, hii ni tabia ya mtu binafsi haiwezi kumvulia tupu wake mwanaume ambaye si mume wake, hili Nina ushahidi nalo, wapo wanawake wengi Tu Wana misimamo thabiti.

Siwezi kuwaongelea wanaume Kwa sababu nature iko wazi mwanamke mmoja hawezi kumtosheleza mwanaume, achilia mbali tamaa za wanaume lakini ukweli uko hivyo.
Para ya mwisho mkuu, nakupa kofia nyingine ya udaktari🤣🤣
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari,

Niende moja kwa moja kwa mada inayosema stuka, kila mke na mume ana bebe wake ofisini.

Narudia tena stuka, kuna baadhi ya wake au waume za watu ila kwa ofisi wana bebe kule, huyo anachukua nafasi ya wa nyumbani Tena kwa kujali zaidi.

Huwezi elewa yaani wanakuwa na ukaribu Fulani ambao wanaweza kuchambua karanga wote kwa pamoja.

Picha linaanza pale anapoingia asubuhi mke au mume anakaribishwa na tabasamu matata na mfanyakazi mwenzie.

Wengine wanaenda mbali zaidi kwa kulumbatiana na kukisi.

Njoo sasa ule muda wa chai yaani wanakaa pamoja, wanaandaliana chai, hapo kumbuka vitafunwa mkeo/mumeo alishambinilia mwenzie.

Utamu unaanzia pale chai inanywea kwa mapozi mbalimbali, ambayo hata nyumbani unaweza usiyapate hahaaa...

Mchana wapo tena pamoja, yaani hapa mkeo au mumeo anapelekwa kwenye mgahawa wanakaa pamoja kwa furaha na kula chakula kwa pamoja.

Haitoshi jioni wanaotoka kazini Tena pamoja wanasimdikizana yaani ni wanamahaba mvua kuliko ya nyumbani.

Bado Kuna vile vizawadi vidogodogo kama pipi, biscuit, Ice cream ambazo analetewa mkeo pale kwa job na dume mwenzako.

Bado akirudi nyumbani wanachat kwa WhatApp yaaani ni mahaba tele..

Stuka, mkeo au mumeo ana bebe wake wa kazini ambaye anamjali kulio wewe...



Donatila
nina uhakika kwa asilimia 98% wewe ni mama wa nyumbani

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Haha!!? You are married, na kuna ka mams kanakufurahisha huko ofisni unakiri kabisa kushikamana nako?
Bahati nzuri ofisi zetu mwanamke hatii mguu!
Nimesemea huyo mwanamke wangu kama kuna anaempa furaha na amani huko kazini kwake ni nafurahi kusikia hivyo, maisha mafupi sana hivyo ni muhimu kuacha furaha na amani kwa wenzetu, no wivu.
 
Hili liko wazi, ukiona mwanaume muaminifu Kwa Mke mmoja ujuwe hesabu zinakataa, ni tatizo la kiuchumi, maana sasa hivi hakuna K ya bure, hawatuuzi na wala hawatoi bure.
wapo, mpaka bakita wamewapa jina
1703101414197.png
 
Hivi mtu na akili zako timamu kabisa unakwenda kuungama Kwa binadamu mwenzako tena huenda anakuzidi madhambi, hii ni akili ya wapi?

Hivi huwezi kuongea na Mungu direct wewe mwenyewe?

Hizi dini zimewatia watu uzezeta kwelikweli.
Hiki kipengele cha kuungana ama kukiri dhambi zako kwa kiongozi wako wa dini kimekaa vibaya, ona mama wa watu amezidi kupata hatia baada ya kwenda kwa mtu kuungama, huyo muungamishaji akiwa na stress anakuongezea dhambi badala ya kuondolea.
 
Back
Top Bottom