OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hapana mkuu, mapenzi yanaumiza sana mzee sasa ukivuka hyo stage kwamba kila kitu unachukulia easy haikusumbui akiliKuwa kama roboti sio jambo la kujivunia mkuu. Mng'atue aliyekusababishia huo uroboti uwe free[emoji3]
Achana na mimi sitaki kuchekaaaaaaaa sitakiiiiii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dona kwako kunaungua? Mbona upo kuzua taharuki kutwa humu?
We si ni mtumishi wa Mungu? Hebu ingia magotini, sugua goti hilo liishe.
Walokole feki mna kazi, bora mje muungane na sisi tule kilaji huku 🥂
Usiwakane wenzioMi sipo huko bana [emoji23][emoji23]
Siwezi kuafford kuwa na kesi na wewe ujue, hebu niambie tufanyeje ili tuimalize mkuu….!Una kesi na mimi ujue mkuu
Komwe msalimie ma mkwe 🤣🤣🤣🤣Achana na mimi sitaki kuchekaaaaaaaa sitakiiiiii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
ESiwezi kuafford kuwa na kesi na wewe ujue, hebu niambie tufanyeje ili tuimalize mkuu….!
Aaaaiii bila shaka kabisa! Ngoja nimalize kumtumikia mzungu, jioni shwaaaa! Chap 😅✋🏻Basi kama hutaki kesi, tutaiondoa mahakamani tukaiongelee nyumbani kifamilia, uje nyumbani sasa tuimalize kesi😂😂
E
85%Lakin hio ni negative thinking sijui ulikua unawaza nn au ndio Ulivo
Unapo ongea kitu Maliza na Sio wote yani hatupo sawa
She is spilling the beans, enhe?Dona kwako kunaungua? Mbona upo kuzua taharuki kutwa humu?
We si ni mtumishi wa Mungu? Hebu ingia magotini, sugua goti hilo liishe.
Walokole feki mna kazi, bora mje muungane na sisi tule kilaji huku 🥂
Yamkini ni sahihi, ila watu wenye busara wote wanashauriwa kutumia neno “Baadhi”.She is spilling the beans, enhe?
Anaongea ukweli yanatokea kwa 85%ya waajiriwa.
KweliYamkini ni sahihi, ila watu wenye busara wote wanashauriwa kutumia neno “Baadhi”.
Halafu sio kila mtu anahangaika na mapenzi na kuwekana kutwa.
Imeandikwa:Aaaaiii bila shaka kabisa! Ngoja nimalize kumtumikia mzungu, jioni shwaaaa! Chap 😅✋🏻
hii zaburi iishi sana.. kuna sehemu niliwasomea ndugu wajumbe, aisee kama hongera na sifa zingekuwa zinageuka kuwa pesa, basi ile siku ningetajirika.Imeandikwa:
1 Tazama, jinsi ilivyo vema, na kupendeza, Ndugu wakae pamoja, kwa umoja.
Zaburi 133:1
2 Ni kama mafuta mazuri kichwani, Yashukayo ndevuni, ndevu za Haruni, Yashukayo mpaka upindo wa mavazi yake.
Zaburi 133:2
3 Kama umande wa Hermoni ushukao milimani pa Sayuni. Maana ndiko Bwana alikoamuru baraka, Naam, uzima hata milele.
Zaburi 133:3