Stuka, kila mke/mume ofisini ana bebe wake

Stuka, kila mke/mume ofisini ana bebe wake

Kuwa kama roboti sio jambo la kujivunia mkuu. Mng'atue aliyekusababishia huo uroboti uwe free[emoji3]
Hapana mkuu, mapenzi yanaumiza sana mzee sasa ukivuka hyo stage kwamba kila kitu unachukulia easy haikusumbui akili
 
Dona kwako kunaungua? Mbona upo kuzua taharuki kutwa humu?

We si ni mtumishi wa Mungu? Hebu ingia magotini, sugua goti hilo liishe.

Walokole feki mna kazi, bora mje muungane na sisi tule kilaji huku 🥂
Achana na mimi sitaki kuchekaaaaaaaa sitakiiiiii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Basi kama hutaki kesi, tutaiondoa mahakamani tukaiongelee nyumbani kifamilia, uje nyumbani sasa tuimalize kesi😂😂

E
Aaaaiii bila shaka kabisa! Ngoja nimalize kumtumikia mzungu, jioni shwaaaa! Chap 😅✋🏻
 
Dona kwako kunaungua? Mbona upo kuzua taharuki kutwa humu?

We si ni mtumishi wa Mungu? Hebu ingia magotini, sugua goti hilo liishe.

Walokole feki mna kazi, bora mje muungane na sisi tule kilaji huku 🥂
She is spilling the beans, enhe?
Anaongea ukweli yanatokea kwa 85%ya waajiriwa.
 
She is spilling the beans, enhe?
Anaongea ukweli yanatokea kwa 85%ya waajiriwa.
Yamkini ni sahihi, ila watu wenye busara wote wanashauriwa kutumia neno “Baadhi”.

Halafu sio kila mtu anahangaika na mapenzi na kuwekana kutwa.
 
Wanaanza kushikana mikono, mara mikumbatiano,wanashikana viuno, mara heeee......... washakulana.

Mara nyingi wanawake wakishakuwa na migogoro na waume zao, ile kutafuta haueni ndipo wanapoliwa, kwani wengi hawajui kukaa na vitu moyoni kila mtu atataka amsimulie.

Ndio maana hawa wataalam wa saikolojia/washauri wanawala sana wake za watu.
 
Aaaaiii bila shaka kabisa! Ngoja nimalize kumtumikia mzungu, jioni shwaaaa! Chap 😅✋🏻
Imeandikwa:
1 Tazama, jinsi ilivyo vema, na kupendeza, Ndugu wakae pamoja, kwa umoja.
Zaburi 133:1

2 Ni kama mafuta mazuri kichwani, Yashukayo ndevuni, ndevu za Haruni, Yashukayo mpaka upindo wa mavazi yake.
Zaburi 133:2

3 Kama umande wa Hermoni ushukao milimani pa Sayuni. Maana ndiko Bwana alikoamuru baraka, Naam, uzima hata milele.
Zaburi 133:3
 
hii zaburi iishi sana.. kuna sehemu niliwasomea ndugu wajumbe, aisee kama hongera na sifa zingekuwa zinageuka kuwa pesa, basi ile siku ningetajirika.
 
Back
Top Bottom