kasulavenance
JF-Expert Member
- Jan 23, 2020
- 759
- 914
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salamu kwa wale wanaovaa kwa mujibu wa fashion.
Utakuwa unatafuta kesi wewe sio bureHii staili ikija huku haitanipita [emoji2]
Makusudi tu alafu nikipita barabarani hayo mapulizo nikiwagusa wadada wembamba wanaangukia mitaroni
ChipuputeeeAcheni matani basi,ni nini hicho eti?
Dah umeua sana mwamba[emoji23][emoji1787][emoji23]Hii staili ikija huku haitanipita [emoji2]
Makusudi tu alafu nikipita barabarani hayo mapulizo nikiwagusa wadada wembamba wanaangukia mitaroni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii staili ikija huku haitanipita [emoji2]
Makusudi tu alafu nikipita barabarani hayo mapulizo nikiwagusa wadada wembamba wanaangukia mitaroni
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Haya ma hips ya chini Mombasa hawakawii kuomba namba watu.
Basi nitakuwa nawapush kule Beach ili wakianguka wasiumie 🏃♂️🏃♂️🏃♂️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
una ugomvi na wadada wembamba