Style ya kucheka tujizuie

Style ya kucheka tujizuie

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2021
Posts
4,226
Reaction score
8,879
Moja ya tabia mbaya zaidi ni pale unakutana na mwanadada au kaka alafu mkapiga story mara akaanza kucheka

Uwiii domo limepanuliwa kama kiboko mbaya unaona koo, kimeo mpk matundu ya pua meno yooye mpaka unataka kusema si mdomo utachanika huu

Sura inabadilika nyani si nyani sokwe si sokwe tumbili si tumbili mbaya zaidi awe anavutia kicheko yaani anatanua mdomo sauti haitoki ila katikati sasa kakkakakakakakakkakakakak

Heee tubadilike tu smile tu kamzungu

Niahyo tu

TUOE
JENGA FAMILIA
 
Uwo ni kuingilia uhuru wa mtu sasa

Ni km kukutana na mtu anatembea na toothpic ya kujitorea nyama

Supu yenyewe ya elf 5 ila unatembea na litoothpic unatoa nyama barabaran tena mbaya zaidi ni mtoto wa kike
 
Moja ya tabia mbaya zaidi ni pale unakutana na mwanadada au kaka alafu mkapiga story mara akaanza kucheka

Uwiii domo limepanuliwa kama kiboko mbaya unaona koo, kimeo mpk matundu ya pua meno yooye mpaka unataka kusema si mdomo utachanika huu

Sura inabadilika nyani si nyani sokwe si sokwe tumbili si tumbili mbaya zaidi awe anavutia kicheko yaani anatanua mdomo sauti haitoki ila katikati sasa kakkakakakakakakkakakakak

Heee tubadilike tu smile tu kamzungu

Niahyo tu

TUOE
JENGA FAMILIA
FnZfrhAWYAYvF2b
 
Mkuu Binadamu Mtakatifu umechekwa na nani mtu wa Mungu?
 
Back
Top Bottom