Style ya kucheka tujizuie

Style ya kucheka tujizuie

Moja ya tabia mbaya zaidi ni pale unakutana na mwanadada au kaka alafu mkapiga story mara akaanza kucheka

Uwiii domo limepanuliwa kama kiboko mbaya unaona koo, kimeo mpk matundu ya pua meno yooye mpaka unataka kusema si mdomo utachanika huu

Sura inabadilika nyani si nyani sokwe si sokwe tumbili si tumbili mbaya zaidi awe anavutia kicheko yaani anatanua mdomo sauti haitoki ila katikati sasa kakkakakakakakakkakakakak

Heee tubadilike tu smile tu kamzungu

Niahyo tu

TUOE
JENGA FAMILIA
Huna haja ya kuyaona yote hayo kwani unatafuta dhahabu?
 
Back
Top Bottom